Ili tuishi kwa amani na furaha. Tupatieni majina ya Wachezaji wa Simba tuwazike na Mtujulishe wamefikia wapi kwa sasa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,163
Reaction score
22,739
Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma.

Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa.

Hii itatusaidia tuishi kwa amani na furaha baada ya match ya RS Berkane. Na pia kuwafundisha hawa mikia sisi ni wananchi hatushindwi na kitu.

Mpaka sasa tunatafuta Simba wamerudi na kufikia wapi. Waanze sumbuliwa usiku wasilale. Tunatafuta huko Bunju hatuwaoni. Sijui wamejificha wapi hawa Mikia.
 
FB_IMG_1682646137959 (1).jpg
9
 
Kaongee na azizi ki akuachie ule mzigo naskia anabadli upepo haya mengine Siyo saizi yenu
 
Tayari uongozi umepitisha. Ijumaa tunaenda maliza match ya Mikia. Wallah wabillah hawa mikia hawatachukua Kombe. Labda siyo mimi Komeo la Chuma.

Uongozi umetoa fungu la kutosha kufanikisha zoezi hili. Wachezaji wa Simba wazikwe. Yanatakiwa majina yao kamili na tarehe zao za kuzaliwa.

Hii itatusaidia tuishi kwa amani na furaha baada ya match ya RS Berkane. Na pia kuwafundisha hawa mikia sisi ni wananchi hatushindwi na kitu.

Mpaka sasa tunatafuta Simba wamerudi na kufikia wapi. Waanze sumbuliwa usiku wasilale. Tunatafuta huko Bunju hatuwaoni. Sijui wamejificha wapi hawa Mikia.
Mechi ya shirikisho CRDB? Tungeanza na ya June 15
 
Unatuaibisha sana
 
Back
Top Bottom