Big up" hii ndio itakayofanya mapato ya Serikali kuongezeka mara dufu7. Kodi zote na mambo yote ya fedha yafanyike kupitia bank - hata mishahara ya makondakta wa daladala na wafanyakazi wa ndani pia ipitie Bank- yaani bank na makampuni ya siku ndio ziwe TRA ya kukusanya kodi ya serikali...
Hapa ndo Kuna shida kubwa. Mfumo mzuri ni wengi wape na wachache wasikilizwe. Mawazo mbadala hata kama hatukubaliani nayo yanatolewa kwa nia njema, badala ya kuyatafakari kwa kina, tunakimbilia kuona wengine maadui na kuunda vikundi vya wasiojulikana kuteka na kuuwa kimya kimya!Cha msingi ni zile shabaha zifuatwe, na tukidhamilia kwa dhati tunafika mapema zaidi, jambo la msingi baada ya kuwa tumeamya, mtu yeyote anayejaribu kuturudisha nyuma aonwe kuwa ndiye adui no moja, ashughurikiwe kimyakimya, kiundwe kikundi kitakachodili na hao
Uzalendo unapatikana vipi kama hao wengi hawasikilizwi??Sisi, Tanzania, Mungu ametubariki tunawatu wazuuri mno wakikaa wakaandaa mpango wa namna ya nchi Yetu kupiga hatua kiuchumi, tatizo letu halipo hapo, tatizo letu wengi wetu si wazalendo
Upo sahihi mkuu tusiende na mambo mengi kwa mkupuo tuangalie vipaumbele ambavyo tunaweza kuvitekeleza kwa uwezo binafsi then tunajipa muda flani kutekeleza then tunaenda hatua inayofuata naamini tutafika mapema tu uchumi wa kati.1 . Tuamue vipaumbele vichache vitakavyoleta maanufaa mengi kwa umma
Mfano- tukiamua kutomeza tatizo la njaa na chakula bora ndani ya miaka 2.5 - hilo limo ndani ya uwezo wetu; tatizo la maji na nishati pia liwe historia...Elimu bora kwa kila Mtoto - tunaweza pia.
Hayo ndio tunatakiwa kufanya kama nchi, kushika mambo mengi kwa muda mchache tutakwama tu...pia tujenge mifumo ya uwajibaji na kutoa haki panapo stahili na utamaduni wa keheshimu vya kwetu, kuvilinda na kuvitunza... labda tufike mwisho pia tuseme wanasiasa wanaotoa ahadi za uongo watupwe jela kama ahadi hizo hazikutekelezeka, hii itasaidia wawe makini na wanancho ahidi...Upo sahihi mkuu tusiende na mambo mengi kwa mkupuo tuangalie vipaumbele ambavyo tunaweza kuvitekeleza kwa uwezo binafsi then tunajipa muda flani kutekeleza then tunaenda hatua inayofuata naamini tutafika mapema tu uchumi wa kati.
Na pia bungeni kuwekwe utaratibu wa wabunge kusaini pale wanapopitisha miswada ya sheria mbalimbali na mikataba ya serikali ili baadae ikija kugundulika kuna upigaji au mikataba mibovu wawajibishwe wote waliopitisha.Hayo ndio tunatakiwa kufanya kama nchi, kushika mambo mengi kwa muda mchache tutakwama tu...pia tujenge mifumo ya uwajibaji na kutoa haki panapo stahili na utamaduni wa keheshimu vya kwetu, kuvilinda na kuvitunza... labda tufike mwisho pia tuseme wanasiasa wanaotoa ahadi za uongo watupwe jela kama ahadi hizo hazikutekelezeka, hii itasaidia wawe makini na wanancho ahidi...
Ningeshangaa usingekimbilia kusema kuna watu si wazalendo, wanao kua kinyume au kuturudisha nyuma washughurikiwe...apa imeonyesha dhairi kua umekua mshiriki wa vitendo hivyo.Kinachonifurahisha zaidi na huwenda tukafanikiwa Kwa haraka, ni pale tuapojaribu kuzungumzia swala zima la Uchumi wetu, kwamba ni nini kifanyike ili tufike
Nadhani hii ndio njia sahihi ya mtu yeyote mwenye lengo la kutoka mahali alipo na kusogea
Cha msingi ni zile shabaha zifuatwe, na tukidhamilia kwa dhati tunafika mapema zaidi, jambo la msingi baada ya kuwa tumeamya, mtu yeyote anayejaribu kuturudisha nyuma aonwe kuwa ndiye adui no moja, ashughurikiwe kimyakimya, kiundwe kikundi kitakachodili na hao wajinga
Tusitaniane, nchi za wenzetu, Wakati wa kuyaendea malengo ya nchi zao ya kupiga hatua za kiuchumi!, kuna waliokuwa wahuni serikalini, wanasiasa uchwara, walishughurikiwa bila aibu, hii ni Sawa na kusema, unyasi mmoja ukidondoka kwenye nyumba, nyumba haiwezi kuvuja
Sisi, Tanzania, Mungu ametubariki tunawatu wazuuri mno wakikaa wakaandaa mpango wa namna ya nchi Yetu kupiga hatua kiuchumi, tatizo letu halipo hapo, tatizo letu wengi wetu si wazalendo
Swala lingine,Tunapoamua kujenga Uchumi wetu kama NCHI, ni mhimu kuwepo na ushirikishwaji wa watu na Kada zote kutoka katika sectors zote, vyama Vyote n.k