Ili tatizo kubwa.

wa home

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
233
41
dk nipeni msaada wenu, nikil chakula usiku nishibe ata nisiposhiba shida kubwa ikifika mida ya saa kumi alfajiri tumbo linajaa gesi nyingi sn, ivyo inanisababishia kujampa sn tena kwa sauti kubwa km tembo!, lipi tatizo? Naombeni majibu ya kitalam, umri wangu 27 uzito 85 kg.
 
punguza uzito...
kijana mdogo uzito wote hu wa nini?
kwan unapelekwa mnadani wewe?
 
kwanza kabisa tatizo nilionalo kwako ni uzito wako trim your wt at least 2 times your age. pia inaelekea rate of food dmetabolism kwako iko ndogo hadi kuweka hizo gesi baada ya chakula kukaa muda mrefu pasi kumengenywa. hii yaweza kuchangiiwa na ulaaji wa high faty foods like mboga zilizopikwa kwa karanga ama zenye mafuta mengi.

punguza kula mafuta halafu ule mwisho saa moja usiku na baada ya kula ukae masaa 2 ndipo ulale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom