Tayari ni kijana ambaye anapata uzoefu mbalimbali wa shughuli za kichama na siasa. Naamini kwa ajili ya kuweza kuja kugombea baadaye nafasi "kubwa" nchini anahitaji kupata uzoefu wa mambo ya serikali. Najiuliza ni nafasi gani zinamfaa ili Rais amteua au (chombo kingine cha uteuzi) ili kumpatia Ridhiwani uzoefu wa mambo ya serikali. Nafikiria kama nafasi zifuatazo:
a. Msaidizi wa Rais Ushauri wa Usalama wa Taifa
b. Mshauri wa Rais (Siasa na Vyama vya siasa)- nafasi iliyowahi kushikiliwa na Kingunge
c. Msaidizi Maalum (without portfolio)
d. Mshauri wa Kisheria - Presidential Guards
e. Msaidizi Ofisi ya Katibu Kiongozi - Special Duties
f. Kwenda Monduli Military Academy na kufanya mafunzo ya Ofisa wa JWTZ - hili nalipenda zaidi kwani akitoka anaweza kupewa Brigage au Kikosi chake Maalum kukiongoza..
Au cheo chochote kile labda wengine mnaweza kuwa na mawazo zaidi. Hii itamsaidia Ridhiwani kupata mwanga zaidi wa shughuli za serikali na kuweza kupanua zaidi wigo wa maono yake kuhusu kutawala nchi yetu. Lakini itamsaidia siku moja kama atataka kugombea Ubunge au nafasi nyingine ya juu kuweza kuwa amepata kuwa na uzoefu wa aina mbalimbali.
....... in all but namea. Msaidizi wa Rais Ushauri wa Usalama wa Taifa

Haaaaahahahaa......! nimecheka sana MM! Nimecheka kwa hoja tata uliyoianika hapa, ambayo kwa harakaharaka tunaweza kusema hivi nini kimempata huyu Great Thinker mzee MM?! lakini kwa muono wangu binafsi, narudia tena muono wangu binafsi; si kama kweli unampigia debe dogo Riz1, bali umetumia lugha ya sanaa kutufikishia maudhui ya hoja yako. Yaani, huyu dogo unataka kutufikirisha kuwa "who is he?". Maana kila mahali dogo yupo though zaidi ya kuwa ni mtoto wa Rais hatambuliki kwenye Katiba wala chochote but is everywhere and very influencial! Riz1 is powerful, akikohoa UV-CCM hata uongozi unaweza kubadilishwa! Akienda leo Biharamulo basi ni mchakamchaka kuanzia RPC, RC, RCO na kila anayevuta pumzi atakimbia a if rais ndio amefika! kwenye chama yupo, usalama yumo, kwenye uwekezaji ndio usiseme....kajamaa kana nguvu hata ya kusema tender hii asipewe huyu apewe yule!
Anyway, ni maoni yangu nadhani mzee MM has thrown this ball to the great thinkers for assessment and evaluation on what Riz1 is practising kama ni suala la utawala bora au la!
Mzee Mwanakijiji, if I got u wrong then I stand to be corrected!
kuna mtu anasema hoja za mwanakijiji zimekuwa dhaifu kama hii kwa sababu yuko kwenye payroll maalum
Tayari ni kijana ambaye anapata uzoefu mbalimbali wa shughuli za kichama na siasa. Naamini kwa ajili ya kuweza kuja kugombea baadaye nafasi "kubwa" nchini anahitaji kupata uzoefu wa mambo ya serikali. Najiuliza ni nafasi gani zinamfaa ili Rais amteua au (chombo kingine cha uteuzi) ili kumpatia Ridhiwani uzoefu wa mambo ya serikali. Nafikiria kama nafasi zifuatazo:
a. Msaidizi wa Rais Ushauri wa Usalama wa Taifa
b. Mshauri wa Rais (Siasa na Vyama vya siasa)- nafasi iliyowahi kushikiliwa na Kingunge
c. Msaidizi Maalum (without portfolio)
d. Mshauri wa Kisheria - Presidential Guards
e. Msaidizi Ofisi ya Katibu Kiongozi - Special Duties
f. Kwenda Monduli Military Academy na kufanya mafunzo ya Ofisa wa JWTZ - hili nalipenda zaidi kwani akitoka anaweza kupewa Brigage au Kikosi chake Maalum kukiongoza..
Au cheo chochote kile labda wengine mnaweza kuwa na mawazo zaidi. Hii itamsaidia Ridhiwani kupata mwanga zaidi wa shughuli za serikali na kuweza kupanua zaidi wigo wa maono yake kuhusu kutawala nchi yetu. Lakini itamsaidia siku moja kama atataka kugombea Ubunge au nafasi nyingine ya juu kuweza kuwa amepata kuwa na uzoefu wa aina mbalimbali.
Sipati tabu kufikiria nafasi inayomfaa Ridhiwani bali nasumbuka kufikiri kwanini "WEWE" umefikiri hivi!!