Hawezi kuja huko na zake na kumtishia makofi. Hapo ni zoezi la siri kabisa, akitokea hadharani, jamaa atawaelezea wakwe kilichomyoa kanga manyoya na pia kile kilichomnyima kuku asikojoe. Nakuambiaaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.