Ileje ni moja ya Wilaya duni nchini ikiwa ni miaka 48 tangu kuundwa na ikiwa chini ya CCM

Wilaya ya Ileje ni miongoni mwa Wilaya zilizounda Mkoa wa Mbeya (naambiwa sasa imehamishiwa Mkoa wa Songwe ) ni miongoni mwa wilaya zinazounda Mkoa huo, historia inaonyesha kwamba kabla ya kuwa Wilaya. Ileje ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Rungwe.

Mpaka sasa imetimia miaka 48 tangu Ileje iliporasimishwa na kuwa Wilaya. Bali umasikini unaoiandama Wilaya hii unatisha. Kibaya zaidi Hali ya Umasikini wa kutupwa wa Ileje inafichwa na viongozi wa serikali na ccm ili kuepusha Aibu, shule ni duni, huduma za afya ni duni, huduma za kijamii ni duni, hali ya uchumi wa mtu mmoja mmoja inasikitisha, kwa ufupi ni kwamba Ileje inanuka umasikini wa kutia aibu.

Lakini cha kushangaza ni kwamba , Wilaya, Halmashauri na Jimbo hilo vimeongozwa na ccm kuanzia enzi za Uhuru hadi leo, ukiacha madiwani wawili watatu kutoka NCCR, TLP na CHADEMA.

Iko haja sasa ya wananchi kushikamana kwa pamoja kuikomboa Ileje kwa Udi na Uvumba ili kunusuru maisha ya Watu .

View attachment 2709997View attachment 2709998View attachment 2709999
Chagua uishi Ileje au Bahi,Mahenge ama Mkalama,Buhigwe Au Momba
 
Wilaya hii ya Ileje haina watu wajanja na wengine wana roho mbaya.
Hasa wanasasa.
Siye wa Rungwe tunajua kuwa watu wa Ileje ni ndugu zetu wa damu.
Tunasikilizana mila, lugha na hata tabia.
Wanasiasa wa Ileje waliwaghilibu akili wananchi na matokeo yake si mazuri.
Wanasiasa wzliwashawishi wananchi na Ileje ilijitoa yenyewe toka Wilaya ambayo ingeanzisha Mkoa wa Rungwe.

Ile ilikuwa roho mbaya isiyo kifani.
Wanapopata shida roho inatuuma lakini, kwa kweli walijitakia wenyewe.
 
Aiseeeee !!!!
 
Vipi kuhusu huduma za kijamii....hospital, zahanat, shule, maji, umeme, nk.
Maana ukisikia wilaya inajisalimisha kwa ingine shida kubwa ni upatikanaji wa huduma za kijamii hasa hospital .na pia kwenye muitikio wa ulahisi wa watu kisikilizwa na kutatuliwa kelo zao, kamavile mahakama, ustawi wa jamii nk. Usiangalie vyakula tu.
Maji,umeme,shule na angalau kila Kijiji kina Zahanati...... hospital teule Isoko na ya wilaya ipo Itumba........ connection ya barabara bado ni changamoto kidogo hasa wakati wa mvua, kwasababu ni eneo ambalo linapata mvua nyingi sana
 
Hawana hali ya kutisha. Nimewahi fika huko. Watu wanachakula cha kutosha sema ni ugali maharage na viazi. Hawana vitamini. Nyumba zao si mbaya.
Kule hata Mwinyi amewahi kupita miaka yake akiwa kiongozi alishangaa kuona watu wote wananyumba za matofali.........na kama ulivyosema misosi ileje siyo story....
Kwasababu mwaka mzima watu wanajihusisha na kilimo wanapumzika mwezi wa nane na tisa mwanzoni tu......kama saizi kule tarafa ya Bundali ni mavuno ya kumalizia karanga na Maharage yaliyopandwa mwezi wa tatu na nne
 
Back
Top Bottom