Ile ndoa imesambaratika!

Au usiolewe kabisa kama unahisi mumeo atachepuka halafu na wewe hutaki kuishi na mchepukaji
Huu upuuzi ndio unaowacost ukikutana na mke anayejielewa..

Kwenye ndoa watu wanaapa kuwa waaminifu to each other sasa wewe umetoa wapi ruhusa ya UZINZI?!!?? Bora Usioe vinginevyo unateseka tu.

Nnachojua wanawake kwa wanaume tunahitaji ndoa lakni wanaume wanadhani wanawake ndio wanapaswa kubembeleza ndoa hata kama ni ya manyanyaso na usaliti..

Badilikeni wanaume mnatuumiza Sana
 
Nimeupenda sana huu mstari wa mwisho.
 
Kwa comments kama hizi naamini wewe utakuwa ni muachika au old cargo mmoja matata sana. Na furaha yako ni kuona wanawake wengi wanaishi maisha yanayofanana na yako.
Mkuu mie nimeolewa na bado nipo kwenye ndoa ya miaka mingi.... Lkn mara nyingi Kama hayajakukuta utaona Kama Unaishi paradise umezungukwa na malaika. Yakikukuta ndio unaona the other side of your spouse and the other side of marriage.

Na hii ni kwa wote mme na mke. Na ukiujua ukweli unakuwa huru na unaweza kuamua chochote kwa uhuru...

Moyo unageuka jiwe. Kua uyaone mkuu
 
Mawazo ya kijinga kijinga tu.
Hata ndoa umewahi ionja.
 
Single mom.
 
Single mom.
Mkuu aymatu mimi ni mke na mama wa watoto watatu wakubwa. Nna uzoefu katika ndoa, kuanzia kuwa mnyenyekevu, muoga na mwisho mjeuri coz hakuna jema.

So fikiri nje ya box. Uwe mkweli, wanaume mnaumiza sana wake zenu

Najua sio rahisi kuyaona na kuyajua mambo ya ndoa labda kwa umri mdogo lkn taratibu utaujua ukweli km ukiwa unayaangalia mambo UNBIASED
 
Tatizo wanaume wanajua wanawake wanatetemekea Sana ndoa..
Ndio maana mwanaume akioa tu anaanza kuchepuka bila woga na mke akilalamika anaambiwa atulie kwa kuwa ameshaolewa ana shida gani
Dawa acheni kuolewa ili wanaume tuwatafune bila hofu yakuonwa vibaya na jamii,tupange mnavyoweza,nasisi tutakubali,ila tutaoa wale ambao wako tayari kuvumilia nakurekebishana ndani ya ndoa,nyie ambao hamuwezi kuolewa msiolewe ili tuwachakate vilivyo.Nina hamu na wadada ambao wanajifanyaga wanaharakati na hawataki kuwa submissive,yaani nawala bila hofu yakufumaniwa.Achika.
 
Tatizo wanaume wanajua wanawake wanatetemekea Sana ndoa..
Ndio maana mwanaume akioa tu anaanza kuchepuka bila woga na mke akilalamika anaambiwa atulie kwa kuwa ameshaolewa ana shida gani
@linguistics dadangu!
Hujasoma na kuelewa nilichoandika. Nimesema mwenye nguvu kubwa kiuchumi ni MUME! Mali alizoondoka nazo MKE kwa 90% zimenunuliwa na Mume. Hiyo inamaanisha Mke amechangia 10%.

Pia kumbuka mke ni mfanyakazi ila mshahara wake sio mkubwa. Vilevile ktk uzi wa kwanza nilisema alisomeshwa na mume. Nadhani unataka kuleta uanaharakati ktk eneo silo. Mke aliamua tu kwa hiari yake kupasha kiporo moto.

Labda na nadhani umenipata Mkuu

Bazazi!
 
Kwahiyo unaenda kumdhihaki Mungu kwa kuapa kuwa muaminifu halafu unachepuka Kama upo kwenye mashindano πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ hongera Ila muonee huruma watoto wenu pia kwa kuwasababishia malezi ya single mother au ya mama wa kambo... Mabadiliko yanaanza na wewe kaka.
 
Nimekupata mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…