Ilani ya CCM Uchaguzi 2010....

..kuoa wake wawili zaidi....na vimada kibao.....

si mumeona juzi ...last week yote alikuw likizo ngorongoro ..na mama ziara ya kitaifa morogoro..[offcourse akipokewa na mkuu wa mkoa na viongozi wote na kukaa naye wiki nzima .....nadhani Pinda ambaye piya alikuwa morogoro alikosa uzito..tuseme kikatiba nafasi ya mke wa rais ipo juu ya waziri mkuu..auuu]....na mama ni mkarimu sana amewaacha wenzake wawili wafurahiye likizo na mzee ngorongoro hana hiyana ...naomba kinamama wengine muige mfano wake....ila pia muda umefika sasa kwa muhashimiwa kuwatambulisha rasmi wake zake wapya...atakuwa hajavunja sheria yeyote ..dini inaruhusu na atakuwa anaonesha mfano mwema wa kuwa muwazi......kuliko kufanya kama anajifisha wakati ni wake zake...

Ha ha haaaaaaaa interesting
 
Mnanikumbusha enzi zile za Mzee Mwinyi. Mkamtukana yote halafu mwisho mnatoa machozi ya kinafiki kumuaga eti mtamkumbuka. Afadhali kina Jenerali waliomba KUNRADHI mara tu walipoanzisha RAIA MWEMA.

Mkiambiwa ushahidi mnabaki si MSWAHILI.....

omarilyas
 
.... Raisi wa kwanza kuhudhuria kwenye mazishi akiwa anatabasamu

.....Raisi wa Kwanza kuanguka jukwaani mara mbili

.....Raisi wa kwanza kuwapatia wa saudia hekari laki tano
 
Back
Top Bottom