Ilani ya CCM: Kadogosa asaini mkataba na kampuni ya Hyundai kununua vichwa na mabehewa ya Treni ya umeme!

Tatizo kubwa ni uwezo mdogo walio nao watendaji waliopo Serikalini. Posta hasara, ATCL hasara, TANESCO hasara, tulikuwa na viwanda mbalimbali, vyote viliishia hasara tupu.
Hivi huko kwenye vyama, kama chadema, kuna nini cha zaidi wanaxhoweza kutuonyesha ili kitushangaze na kutufanya tuamini kuwa huko kuna vichwa zaidi ya hao waliopo serikalini?
Au humo kwenye sekta binafsi, kuna nini cha zaidi kinachowatofautisha na watanzania wengine? Mi wala sioni tofauti; naona watanzania wote ni wale wale, majority ni wababaishaji, wezi, wazembe, waongo, nk!
 
Back
Top Bottom