Ilani ya CCM haina tatizo, anayebisha alete hoja zake

Kweli kabisa jaman yaani sisi watu wa ccm elimu ndio hamna kabisa tunaende ende tu
 
IMF wameshakuja na jibu hata Watalii nao wamepungua kwani ni sehemu tunakotegemea kuiwezesha hiyo ilani
 
[quote uid=412476 name="dripu" post=21905768]Kweli kabisa jaman yaani sisi watu wa ccm elimu ndio hamna kabisa tunaende ende tu[/QUOTE]<br />Hebu fafanua unataka kusema nini?
 
[quote uid=412476 name="dripu" post=21905768]Kweli kabisa jaman yaani sisi watu wa ccm elimu ndio hamna kabisa tunaende ende tu
<br />Hebu fafanua unataka kusema nini?[/QUOTE]
Ilani ni nzr ila viongozi wetu ndio hawaifwati hata sisi ccm hatusimani kwenye ilani yani kiongozi akikosea hatusemi hiyo sio ilani ya chama tunampinga ila sisi tunafurahia tu.
 
Kuna watu wanashangaa eti aliyekuwa mwenyekiti wa ACT kupokea ilani ya ccm, sijui wanachoshangaa ni nini.

Wakuu ni hivi, ilani ya ccm ni moja ya ilani bora kabisa zilizopata kutokea kwenye nchi hii.Sijui ni wangapi wameisoma ilani hiyo, ila kama mtu ameisoma kwa makini na sio nyumbu atakubaliana nami kuwa ilani ya ccm haina shida yeyote.

Hata wanaoikosoa ccm hawaikosoi sababu ya ilani, bali mambo ya jiutendaji. Huo ndio ukweli na kama kuna mtu asiyekubaliana na hili, alete hoja zake. Aeleze tatizo la ilani ya ccm ni nini hasa?

Kuna watu hata hiyo ilani hawajawahi kuishika, achilia mbali kuisoma lakini kwanza wanaishangaa kisha wanaipinga. Ovyoooooo!
INALYO TATIZO KUBWA SANA KWANI NI YA KUKURUPUKA NA HAITEKELEZEKI
 
Wale mliokuwa mnahoji ishu za ilani njooni sasa mtoe hoja zenu, kisu cha ngariba amekuja ila hana hoja, anashangaa tu

fa12c2464f6f8969adba5971222d55e3.jpg
Kweli Ilani haina tatizo,wenye tatizo ni wale waliosoma Ilani bila ya kuelewa. Sijajua ni vilaza au wameamua kudanganya umma.
 
Kuna watu wanashangaa eti aliyekuwa mwenyekiti wa ACT kupokea ilani ya ccm, sijui wanachoshangaa ni nini.

Wakuu ni hivi, ilani ya ccm ni moja ya ilani bora kabisa zilizopata kutokea kwenye nchi hii.Sijui ni wangapi wameisoma ilani hiyo, ila kama mtu ameisoma kwa makini na sio nyumbu atakubaliana nami kuwa ilani ya ccm haina shida yeyote.

Hata wanaoikosoa ccm hawaikosoi sababu ya ilani, bali mambo ya jiutendaji. Huo ndio ukweli na kama kuna mtu asiyekubaliana na hili, alete hoja zake. Aeleze tatizo la ilani ya ccm ni nini hasa?

Kuna watu hata hiyo ilani hawajawahi kuishika, achilia mbali kuisoma lakini kwanza wanaishangaa kisha wanaipinga. Ovyoooooo!
Ilani inasema watoto watakaopata mimba watapewa fursa ya kurudi na kusoma!
 
Kuna watu wanashangaa eti aliyekuwa mwenyekiti wa ACT kupokea ilani ya ccm, sijui wanachoshangaa ni nini.

Wakuu ni hivi, ilani ya ccm ni moja ya ilani bora kabisa zilizopata kutokea kwenye nchi hii.Sijui ni wangapi wameisoma ilani hiyo, ila kama mtu ameisoma kwa makini na sio nyumbu atakubaliana nami kuwa ilani ya ccm haina shida yeyote.

Hata wanaoikosoa ccm hawaikosoi sababu ya ilani, bali mambo ya jiutendaji. Huo ndio ukweli na kama kuna mtu asiyekubaliana na hili, alete hoja zake. Aeleze tatizo la ilani ya ccm ni nini hasa?

Kuna watu hata hiyo ilani hawajawahi kuishika, achilia mbali kuisoma lakini kwanza wanaishangaa kisha wanaipinga. Ovyoooooo!
Naomba tu kujua kuwa ilani inaweka ununuzi wa ndege kama kipaumbele namba moja?
 
Hivi bado kuna watu kwenye wanaodhani falsafa, itikadi , Sera na ilani ya Ccm ndio tatizo LA nchi hii? Hatujawahi kuwa na tatizo kwenye falsafa, ilani na itikadi kwenye nchi hii, tatizo letu ni mtu mmoja mmoja au kwa makundi ambao wanakuwa ni kikwazo kufika kule tunakotaka kwenda.
 
Back
Top Bottom