Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,188
- 7,490
Kuna watu wanashangaa eti aliyekuwa mwenyekiti wa ACT kupokea ilani ya ccm, sijui wanachoshangaa ni nini.
Wakuu ni hivi, ilani ya ccm ni moja ya ilani bora kabisa zilizopata kutokea kwenye nchi hii.Sijui ni wangapi wameisoma ilani hiyo, ila kama mtu ameisoma kwa makini na sio nyumbu atakubaliana nami kuwa ilani ya ccm haina shida yeyote.
Hata wanaoikosoa ccm hawaikosoi sababu ya ilani, bali mambo ya jiutendaji. Huo ndio ukweli na kama kuna mtu asiyekubaliana na hili, alete hoja zake. Aeleze tatizo la ilani ya ccm ni nini hasa?
Kuna watu hata hiyo ilani hawajawahi kuishika, achilia mbali kuisoma lakini kwanza wanaishangaa kisha wanaipinga. Ovyoooooo!