KING ASSENGA
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 929
- 1,494
Wakati wameshindwa kutuajiri, bado hata tulipojiajiri wanafuata na kutuwekea vikwazo vya kutosha, walaaniwe kwa matozo, makodi ya kila aina, walaaniwe
Wakati vijana tunaona fursa nje ya nchi wao wanatuwekea vikwazo kutoka passport masharti lukuki na garama juu pamoja na ucheleweshaji, mnataka tufie njaa humu ndani? Mlaaniwe.
Narudia tena Mlaaniwe CCM na serikali yenu mlaaniwe kwa kuufuga umaskini shida na taabu mulaaniwe kwa jasho letu mnalojilipa mlaaniwe na ardhi yetu mnayoikanyaga. Mlaaniwe na vizazi vyenu vyote,. Mlaaniwe milele