Hakika 100%Hata mwanaume usipokuwa selective inamaanisha hujitambui.
Yaani kila Mwanamke unataka upite naye. Mwishowe upate mikosi.
Kwa Hilo Wanawake wapo Right kabisa.
Napenda Wanawake wabaguzi, wanaoringa, ambao hawafikiki kirahisi.
Nisubiri mpaka ndoa au siyo?Hiyo ni kawaida mademu huwa hawataki mtu wa kawaida ni bora waende kwa watu walio juu kwenye taasisi yoyote ile iwe chuo au shule ilimradi iwape kiki kwa ajili ya taswira yao wapate watu wa maana au waonekane matawi ya juu linapokuja swala la mvuto/kusuguana na hii ni duniani kote kwa mfano hapo demu aambiwe kati yako na belle nine amchague nan? we anaweza akakuambia subiri hadi ndoa ila belle nine akiomba saa hivi anapewa hapo hapo.
Nimejifunza. Ahsante sana Mr. Kiranga!Unatakiwa kuwa katika position ya wewe kuwa selective na eligible kwa kiasi ambacho huwezi kuona wao wako selective. Yani wawe wanakutaka sana kila kona mpaka hujui kwamba wako selective. Kwa sababu wengi wanakuona wewe eligible, the choice.
Wewe ndiye uwe na tatizo zuri la kuchagua.
Ukishaanza kuona wanawake wengi wako selective sana ujue umekosea maisha sehemu fulani na umeshuka viwango vibaya sana mpaka wanawake wabaya wanakukataa.
Sikuwahi kumfungukia hataWewe itakua unaumia roho sababu ulimtaka na ukashindwa kuwa nae.
Hiyo ni mpaka kwa wanawake. Ndivyo ilivyo.Wanaume wengi nimeona wana hii tabia mara nyingi wakishindwa kumpata mwanamke fulani wanakuaga na maneno kama haya.
Tycoon nimejifunza kwenye mchango wako. Ahsante Mr. TycoonHata mwanaume usipokuwa selective inamaanisha hujitambui.
Yaani kila Mwanamke unataka upite naye. Mwishowe upate mikosi.
Kwa Hilo Wanawake wapo Right kabisa.
Napenda Wanawake wabaguzi, wanaoringa, ambao hawafikiki kirahisi.
Hakika 100%
Wanaanza kumchambua kiima na kiarifu na kumshusha kwamba ni wa kawaida kisa tu wameshindwa kumpataWanaume wengi nimeona wana hii tabia mara nyingi wakishindwa kumpata mwanamke fulani wanakuaga na maneno kama haya.
Changamoto yako ilianzia katika kumuangalia uso na mwili wake tu.Ulipaswa uende mbele au ndani zaidi.Wao huangalia anamiliki nini ambacho kinamfanya mwanaume aweweseke.Sura siyo ishu.Sura pelekea mama ngedere.🤔Kwema ndugu?
Nakumbuka nikiwa chuo mwaka wa nne, kuna binti ambaye alikuwa ni mrembo, ila alikuwa na urembo wa kawaida si wa kutisha sana....
Ajabu naye alikuwa so picky ikija ishu ya wanaume wa kutoka naye.... alikuwa anachagua wale tunawaita ming'ao kwa lugha ya jeshi, yaani maarufu hivi, wanaheshimika hivi ie viongozi nk
Imagine mwanamke ni wa kawaida halafu anakuwa selective.... yaani wewe kama lofa aisee pita naye mbali huwezi mpata.
Nilikuwa nashuhidia alivyokuwa akigawa spana kwa jamaa zangu. Ila mimi nikatuliza "Kiranga" changu sikumfuata kabisa.
Sasa huyu ni binti tu tena wa kawaida, anajikubali hivi, vipi kwa wewe mtoto wa kiume "zoa zoa"? Kwamba umeshajikatia "tamaa" au? Kwa nini usijikubali?
Ni kumbu kumbu tu jamani!
Hahaha hii ipo kwa wote. Wanaume na wanawakeWanaanza kumchambua kiima na kiarifu na kumshusha kwamba ni wa kawaida kisa tu wameshindwa kumpata
HahahahahahahahahChangamoto yako ilianzia katika kumuangalia uso na mwili wake tu.Ulipaswa uende mbele au ndani zaidi.Wao huangalia anamiliki nini ambacho kinamfanya mwanaume aweweseke.Sura siyo ishu.Sura pelekea mama ngedere.
Hapana wanaume mumezidi kwanza huyo dada ni mzuri sana ndyo maana umepata guts za kufungua uzi kumuongelea yeyeHahaha hii ipo kwa wote. Wanaume na wanawake
Tycoon nimejifunza kwenye mchango wako. Ahsante Mr. Tycoon
Wanaume mmezidi. Utaskia subiri afike miaka 30 hajaolewa aanze kushinda kwa mwamposa. Huwa nacheka.Hiyo ni mpaka kwa wanawake. Ndivyo ilivyo.
Kuolewa ni hiyariWanaume mmezidi. Utaskia subiri afike miaka 30 hajaolewa aanze kushinda kwa mwamposa. Huwa nacheka.
We jamaa fala sana,nimecheka kinoma!Hao hata mm nilikutana nao. Walikuwa wanapenda wanaotupia pamba Kali mara nguo mpya. Mchiz nimepita tu... Ikifika likizo wao na mabwana zao wananipigia simu kuniomba vocha. Toka nimemeliza chuo wananitumia CV zao wananiona Niko kwenye mitaasisi ya watu. Napokea CV nafutia Meza naagiza juisi ya ukwaju.
hao wanawake ni wachache sana aisee.Wanawanamke wanao jielewa, wanapenda mwanaume smart minded na mwenye maono.
Hakika.Kuolewa ni hiyari