Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 720
- 1,210
Habari wanajamvi natumani wazima wa afya,
Mimi naona hili swala la wanawake kupigwa katika mahusiano wengi huwa wanajitakia, unapoamua kupaza sauti kumtetea mwanamke unahitaji kupata support na pia mwanamke mwenyewe awe na commitment kwamba hapa nilipo sio sahihi.
Unakuta unapaza sauti kupinga ukatili lakini mwisho wa siku yule yule mwanamke aliyepigwa anadiliki kurudi kwa mwanaume aliyempiga unakuja kuonekana mnafiki
Kupaza sauti sio lazima uende kwenye vyombo vya habari ila ni hapo mtaani kwako ulipo unaweza kukomesha haya mambo but mwisho wa siku wanawake wenyewe wanarudi kwa wanaume wanaowapiga sasa hapo utasemaje.
Kuna binti flani alikuwa rafiki yangu tulikuwa kama ni kaka na dada alikuwa anapigwa na mumewe anabeba vitu vyake anaenda kwa rafiki zake kukaa kwa muda akiwa anajiuguza, ukikutana nae unamshauri aachane nae yule bwana atamtia ukilema ila baada ya wiki moja utasikia tu amerudi tena, kuna siku watu walichoshwa wakamtia ndani yule jamaa lakini cha ajabu kesho yake asubuhi kwa siri akaenda mwenyewe kumtoa polisi.
Haya maswala inabidi wanawake wenyewe wawe na maamuzi na msimamo then sisi kama jamii tuwe tunapaza sauti kwa mbaali tu tusiingilie ndani sana tunaweza ambiwa tunachonganisha ndoa za watu.
With LOVE, Mwanakulipata.