Ila wadada mnavofanya sio fair kabisa!

mimi mwenyewe niliishatongozwa na wanawake zaidi ya 3 sababu kubwa wanapenda mwili wangu mkubwa hasa kifua kilivyojengeka na siyo kwamba watu wote wenye miili mikubwa wana vibamia km kuna m2 anabisha aje kwangu ahakikishe halafu aje awahadithie.

kwa hyo unaona raha kushobokewa na wanawake wote hao wkt wenzio hawana hata wakusingiziwa mkuu?
 
pole kwa yaliyokukuta...ila wanaume wote kwa maumbile yote hupendwa na wanawake kwani kila mtu ana chaguo lake. Hivyo ukikataliwa na idadi ndogo ya wanawake uliowatokea, jaribu kwa wengine na huna haja ya kufunga mwili kwa vyuma ili upendwe na wanawake kwani unaweza kushangaa mda huo unakuwa bouncer, wale wanawake waliojifanya wanakukataa wakakwambia mbona umejiharibu kwa mwili ulionao...JIAMINI MWANAUME.
 
Kitendo cha nyie kushoboka na wakaka wenye mamiili makubwa,ni kinyume na haki za binadamu na kinawafanya wale wenye miili midogo wawe infirior kwenu.nawaomba muonyeshe mapenz ya dhati kwa wakaka wote bila kujali umbo la mtu.over

Mbona wengi nimewasikia kuwa wanapenda maumbo madogo kwani wanakuwa kati na kati kwa ndani na nje hivyo kuhisi kuwa amevitumia viwiliwili vyote na bado yeye amebakia!
 
mwili unaweza kuwa sababu...sema pesa ndo kila kitu ka huamini kamulize komba au wasira
 
mkuu,sasa kama hata ukimtongoza anakukataa coz of your umbo,hiyo dozi utaitolea kwa nani?afu cha ajabu hata wadada wenye maumbo madogo nao wanashobokea hao wakaka wenye maumbo makubwa.

nilishawahi kulifanyia hili utafiti...nikagundua lina ukweli asilimia fulani hivi....
 
Back
Top Bottom