Halina akili hili jinga , tatizo lenu wadada mnawapa mpaka hawa magoigoibadala ya kuja kumsema huku
ungempa ushauri namna ya kusafisha na vitu vya kutumia kuufanya uke uwe safi na harufu nzur ingemsaidia yeye na hata wew endapo utataka kurudia mechi
ila nawe ni abunuasi tu
Laki 5 , hivi kwani ninyi mnawapataga kwa sh ngapi hawa maarufu? Nipeni bei elekezi niache kupigwa hapo na vinywaji nshatuma sana yan, nshanunua umeme sana yan atamaliza kamshahara kmgu Kenyewe 1.4M dah aiseeLaki 5 au buku 5? Ukishapiga unapata faida gani kwa mfano? Au ulienda kubeba nyota?
Hawa watu wa siku hizi wana jiona mashababi hadi waje kuvunjwa kwenye hayo mageto ya wanawake siku moja ndio akili ziwakae sawa 😅Uwe unahudhuria vikao mkuu,
Ni hatari kubwa sana kwa Mwanaume kwenda kwenye Ghetto la Mwanamke,utakuja kufa huku unajiona
I mean!! Unapata nini ukipiga demu maarufu? Au ndio fantasy?Laki 5 , hivi kwani ninyi mnawapataga kwa sh ngapi hawa maarufu? Nipeni bei elekezi niache kupigwa hapo na vinywaji nshatuma sana yan, nshanunua umeme sana yan atamaliza kamshahara kmgu Kenyewe 1.4M dah aisee
Kile kiharufu cha jasho baada ya Mwanamke kulima kwa jembe la mkono,kiharufu kilicho changanyika na harufu ya sabuni ya kuogea,TISA KUMI KUNA KILE KIHARUFU CHA KIENYEJI NA UKIPATE HUKO VIJIJINI KINAKUWA NA MZUKA KINOMA
Kweli kabisa mkuu na umenikumbusha jambo.Price is no indicator of quality,
More expensive does not always mean better.
Polee sana demu mzuri ni Snura tu wengine holaaaAlafu anajiwekaga classic ameliwa na wasanii kadhaa naye ni msanii ila hapana aisee
Sahihi kabisa,Mambo ya faragha huwa yanabaki faragha mkuu, jifunze kuficha aibu za watu mkuu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hebu weka mbinu za kumtambua goigoiHalina akili hili jinga , tatizo lenu wadada mnawapa mpaka hawa goigoi
Kama hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hebu weka mbinu za kumtambua goigoi
Inasikitisha sana nikajua bonge la Don sasa hiyo ukihonga 500k unabaki na niniLaki 5 , hivi kwani ninyi mnawapataga kwa sh ngapi hawa maarufu? Nipeni bei elekezi niache kupigwa hapo na vinywaji nshatuma sana yan, nshanunua umeme sana yan atamaliza kamshahara kmgu Kenyewe 1.4M dah aisee