Ila Simba eti wanaingia kwa Mkapa kama Mazombie

Ila Simba eti wanaingia kwa Mkapa kama Mazombie

mambo kama haya ndiyo yanaleta gundu na mikosi kwa timu ni kama ile kuingia na majeneza uwanjani ila hawa vichwa ngumu hawajifunzi..kila msimu timu inakuwa ovyo sababu ya mambo kama haya kwani yanaumba kitu kwa timu alafu mnaishi nacho msimu mzima mwisho mnatafuta mchawi kumbe mmejiroga kwa kujitia nuksi na mikosi wenyewe..bila shaka utakuwa ubunifu wa semaji Ahmed ally kilaza sana huyu hana idea za maana huku ni kuitia gundu timu kwa scene kama hizi.!
 
Mbosso kawasha moto hatari.

Mbosso kafundisha wasanii wa bongo jinsi ya kuimba na ku perform kwenye uwanja mkubwa!
 
"Wana siiimbaa! Ubaya..... Ubwela.
Asanteni sana! Asanteni kwa kuujaza uwanja wa Mkapa! Mmependeza sana..."

Naona semaji lao limeanza kutema cheche.

Ila mwisho wa siku Yanga ndiyo Bingwa wa kila kitu.
 
Back
Top Bottom