Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 13,625
- 29,891
Angalia nyuzi. Ni Jersey za Simba hivi , jersey za Simba vile. Yanga tumezindua lakini nyuzi nyingi ni abt Simba. Why? Kwa nini? Nasi Yanga ndo tumekazana kuzi promote jersey za Simba. Mara zimevuja, mara zimefanyaje sijui....
Katika forum nyuzi 10 za sportz 7 ni kuhusu Simba. Iwe kwa mabaya au mazuri. Yanga tunaipromote sana Simba kuliko team yetu. Tukiandika uzi wetu basi ni Ngara23 kumsifia Hersi. Au kumtetea Hersi. Nyingine ni about Simba tu.