Ikawe heri kwako... Siwezi kukuchoma,siku nilisikia wakaguzi wanapitia nakustua...Afu we ndo uta nichoma π€£π€£π€£, mi jobless bhana ππ€£π€£.
πSema napika bomu, liki lipuka ni π₯ π₯π₯, tuombeane ππ
Yaani we acha tu,mwili wote unalegea,...Ukiwa na njaa tuta iba hata kuzimu, njaa mbaya nyie π€£π
Kumbe unaweza kuhimili shida?Bora ulipata maziwa ya kulamba
Wengine njaa zinauma unalamba chumvi na maji unalala
Wee binadamu una tujua π€£ππ, sijui tutakula kwanza au tumalize kesi π€£π€£π€£π€£π€£π€£Dah,tutakiwa kusahau yaliyopita.
Chambo wa wezi una taka kufanya nini ππ€£, Ume vutiwa na avatar ehhπ€£Kumbe unaweza kuhimili shida?
Wee yaani nakimbia na li Dell languπ€£π, na hivi Nina speed - niki kata Kona ime Ishaπ€£πππIkawe heri kwako... Siwezi kukuchoma,siku nilisikia wakaguzi wanapitia nakustua...
Sijavutiwa na avatar, bali uwezo wake wa kumvumilia shida na raha π πChambo wa wezi una taka kufanya nini ππ€£, Ume vutiwa na avatar ehhπ€£
Ko una taka um recruit hapo homeπ€£πSijavutiwa na avatar, bali uwezo wake wa kumvumilia shida na raha π π
That's true....Kuna mda unaingia kwenye contacts una scroll kuanzia A mpaka Z una contacts karibia 200+ ila kila jina unaloliangalia huoni wakumuomba hiyo aftatu.
Yeah, nipo kwenye mchakato wa kutafuta jiko. Nishachoka kula kwa mama ntilieKo una taka um recruit hapo homeπ€£π
Unananiona laini laini enhe π€£Kumbe unaweza kuhimili shida?
Mtu Aki quote una ona Kama ana kutukanaπ€£ππYaani we acha tu,mwili wote unalegea,...
USI sahau kunipa kadi Kaka, nine nine sufuria za chakulaπ€£ππYeah, nipo kwenye mchakato wa kutafuta jiko. Nishachoka kula kwa mama ntilie
Nilijua ni wale ambao wapo msimu wa mavuno tu........ kwenye kuandaa shamba na kulima wanakimbiaUnananiona laini laini enhe π€£
Omba Dua mambo yaende vizuri...mrembo aelewe vokoUSI sahau kunipa kadi Kaka, nine nine sufuria za chakulaπ€£ππ
Wee mimi ni jembe yaani popote nafitNilijua ni wale ambao wapo msimu wa mavuno tu........ kwenye kuandaa shamba na kulima wanakimbia
Safi....hivyo ndivyo mwanamke anavyotakiwa kuwaWee mimi ni jembe yaani popote nafit
Sema be cautious, beware, may you find the person you well deserveOmba Dua mambo yaende vizuri...mrembo aelewe voko