Ila Maisha Aisee, Acha Tu. Omba Yasikukute

MzaramoTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2017
Posts
1,873
Reaction score
3,096
images (35).jpeg

images (37).jpeg

images (33).jpeg

images (51).jpeg
images (44).jpeg

images (43).jpeg
 
Kuna wakati unapita kwenye wakati mgumu hadi unasema haya maisha haya ni usenge tu... Halafu unakutana na mtu anakuelezea magumu yake unajiona kumbe wewe huna shida hata kidogo. Nakumbuka nilipata ajali mwaka 2010 nikapelekwa Moi miguu yote ilivunjika, wakati naingizwa wodini nikakuta kuna mtu taya la kidevu limeng'oka na jicho moja, nikasema Asante Mungu kumbe mi sijaumia sana. Nilikaa miezi sita pale na hadi Leo chuma kipo mguu mmoja.
 
Aisee pole sana
History yako inafanana na yangu
 
Tareh 18 may anaweza toka, kesi yake kuna ukiritimba kibao unaendelea na mashtaka ni zaid ya kumi alifunguliwa,licha ya yale ya kwanza yalimtoa nje lakin alikabiliwa na mashtaka mengine huko new York..

Ni kawaida kwa mwanaume yoyote kupitia magumu kama haya,
Tutegemee akitoka na kuachana na kesi hii,ataingia kwa nguvu kubwa sana kwenye tasnia ya mziki ili kufuta taswira mbaya kwa washabiki wake.

Storm will be over..
where-is-r-kelly-now-2-1578002667727.jpg
 
Kuna wakati unapita kwenye wakati mgumu hadi unasema haya maisha haya ni usenge tu... Halafu unakutana na mtu anakuelezea magumu yake unajiona kumbe wewe huna shida hata kidogo. Nakumbuka nilipata ajali mwaka 2010 nikapelekwa Moi miguu yote ilivunjika, wakati naingizwa wodini nikakuta kuna mtu taya la kidevu limeng'oka na jicho moja, nikasema Asante Mungu kumbe mi sijaumia sana. Nilikaa miezi sita pale na hadi Leo chuma kipo mguu mmoja.

Daaaaah aisee pole sana mkuu...!
 
Back
Top Bottom