Ila Maisha Aisee, Acha Tu. Omba Yasikukute

R KELLY IS A MUSICAL GENIOUS ILA ALIINVEST MUDA WAKE MWINGI KWA WANAWAKE SAIV ACCOUNT YAKE HATA LAKI HAINA 🤣🤣🤣

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu sio kwamba pesa imekata kabisa, kuna loyalties za miziki yake inayo uzwa mitandaoni, inayopigwa kwenye redio na Television bado inaingia na itaingiza pesa akiwa hayupo duniani.

Tatizo child support.
 
Tareh 18 may anaweza toka, kesi yake kuna ukiritimba kibao unaendelea na mashtaka ni zaid ya kumi alifunguliwa,licha ya yale ya kwanza yalimtoa nje lakin alikabiliwa na mashtaka mengine huko new York..

Ni kawaida kwa mwanaume yoyote kupitia magumu kama haya,
Tutegemee akitoka na kuachana na kesi hii,ataingia kwa nguvu kubwa sana kwenye tasnia ya mziki ili kufuta taswira mbaya kwa washabiki wake.

Storm will be over..View attachment 1371111
Tatizo huwa mnachukulia kuwa Mtu Mwenye Wafuasi kuwa hakosei. R. Kelly hajaonewa.
 
Mkuu sio kwamba pesa imekata kabisa, kuna loyalties za miziki yake inayo uzwa mitandaoni, inayopigwa kwenye redio na Television bado inaingia na itaingiza pesa akiwa hayupo duniani.

Tatizo child support.

nlikuwa namaanisha nini ujue ? huyu jamaa anamadeni mengi yan hata kama ikiingia ni kama hana kitu mzee, that was my projection, hata kipindi ile documentary inatoka his musical numbers on you tube piledup as well na algorithims zikienda juu na hela inakuwa mingi mkuu jamaa majanga mengi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nlikuwa namaanisha nini ujue ? huyu jamaa anamadeni mengi yan hata kama ikiingia ni kama hana kitu mzee, that was my projection, hata kipindi ile documentary inatoka his musical numbers on you tube piledup as well na algorithims zikienda juu na hela inakuwa mingi mkuu jamaa majanga mengi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Upo sahihi mkuu, jamaa majanga yake sio ya kitoto.
 
CONSPIRACY THEORY:
Kuna za chini ya carpet zinadai kua chanzo cha yote haya ni kwasababu R. Kelly alizipotezea tuzo za Oscar na Grammy. Siku za mwishomwisho kabda matatizo hayajamuanza alikua amezipiga chini zote!!! Alikataa kabisa kushindanishwa na mwanamuziki yeyote, kwamba asilinganishwe na vifaranga wa muziki(RnB) na waache maramoja kumuingiza kwenye hayo mashindano/comparisons zao

Zinadai kua baada ya hapo "Corporate Empire" ambao kimsingi ndio waanzilishi na wasimamizi wa hizo tuzo wakaamua kum fix na kumuangusha kabisa kimuziki, kiuchumi na hata hadhi yake. Inasemekana kwa kiasi flani ni kweli alikua na hayo mambo ya ku abuse underage lakini sio kwa kiasi hicho wanachomuandama, na pia yalikua yanajulikana lakini ni kama walikua wanam cover all those years kwasababu alikua akifanya kazi zao(secret society?)

Kosa lake ni kutofautiana na washirika wakubwa wa kazi zake ndio kila kitu kikamgeukia. Inawezekana wanaoitwa victims wake walipangwa ku exaggerate walichokua wanafanyiwa na bahati mbaya sana main stream medai zote za USA ni mali ya "Corporate"

Sitaki kumtetea R. Kelly lakini ukweli ni kwamba jamaa wale wanauwezo wa kukupandisha na uwezo mkubwa zaidi wa kukuangusha ndani ya muda mfupi. Halafu mtoto wa kike wa miaka 16 America you can easily confuse her na mtu mzima maana wana maumbo makubwa sana.

Micheal Jackson aliomba poo akiwa kachelewa, Bill Cosby ameanguka, Tiger Woods wame reconcile
Ni CONSPIRACY THEORY tu lakini
 
Kuna wakati unapita kwenye wakati mgumu hadi unasema haya maisha haya ni usenge tu... Halafu unakutana na mtu anakuelezea magumu yake unajiona kumbe wewe huna shida hata kidogo. Nakumbuka nilipata ajali mwaka 2010 nikapelekwa Moi miguu yote ilivunjika, wakati naingizwa wodini nikakuta kuna mtu taya la kidevu limeng'oka na jicho moja, nikasema Asante Mungu kumbe mi sijaumia sana. Nilikaa miezi sita pale na hadi Leo chuma kipo mguu mmoja.
Pole Mkuu, hii imenipa fundisho la kumshukuru Mungu kwa kila jambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CONSPIRACY THEORY:
Kuna za chini ya carpet zinadai kua chanzo cha yote haya ni kwasababu R. Kelly alizipotezea tuzo za Oscar na Grammy. Siku za mwishomwisho kabda matatizo hayajamuanza alikua amezipiga chini zote!!! Alikataa kabisa kushindanishwa na mwanamuziki yeyote, kwamba asilinganishwe na vifaranga wa muziki(RnB) na waache maramoja kumuingiza kwenye hayo mashindano/comparisons zao

Zinadai kua baada ya hapo "Corporate Empire" ambao kimsingi ndio waanzilishi na wasimamizi wa hizo tuzo wakaamua kum fix na kumuangusha kabisa kimuziki, kiuchumi na hata hadhi yake. Inasemekana kwa kiasi flani ni kweli alikua na hayo mambo ya ku abuse underage lakini sio kwa kiasi hicho wanachomuandama, na pia yalikua yanajulikana lakini ni kama walikua wanam cover all those years kwasababu alikua akifanya kazi zao(secret society?)

Kosa lake ni kutofautiana na washirika wakubwa wa kazi zake ndio kila kitu kikamgeukia. Inawezekana wanaoitwa victims wake walipangwa ku exaggerate walichokua wanafanyiwa na bahati mbaya sana main stream medai zote za USA ni mali ya "Corporate"

Sitaki kumtetea R. Kelly lakini ukweli ni kwamba jamaa wale wanauwezo wa kukupandisha na uwezo mkubwa zaidi wa kukuangusha ndani ya muda mfupi. Halafu mtoto wa kike wa miaka 16 America you can easily confuse her na mtu mzima maana wana maumbo makubwa sana.

Micheal Jackson aliomba poo akiwa kachelewa, Bill Cosby ameanguka, Tiger Woods wame reconcile
Ni CONSPIRACY THEORY tu lakini
Hii mm nakubali kabisa mwana katengenezewa hii kitu kama Meek Mill vile.
 
Back
Top Bottom