Kuwatafuna na kuwanyanyasa watoto wadogo
TrueNdiyo maana unaambiwa usimdharau mtu maana huijui kesho yako
Huyu alikuwa anaiga tu.
Huyu alikuwa anaiga tu.
Kuna jembe alikuwa anaitwa Aaron Hall alikuwa tishio sana kwa RnB, R.Kelly alikuwa anamuiga jamaa style ya kuimba kuvaa, kunyoa na kuigiza kwenye video shooting za nyimbo zake.
Kelly kaja kubadilika baadae sana akaacha kuiga styles za jamaa.
Alipata shida ya afya akaondoka mapema kwenye game.
Imagine unamuimbia girlfriend wako huu wimbo na anakielewa kizungu ..
Talented sana sana.Nimeona kwenye comment kweli wengi wanasema kells alimuiga jamaa..
Ila still tukubali hata kama aliiga,kells is talented sana..kwenye kuimba,utunzi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitaka kujua R. Kelly talented sana msikilize alivyo badilika kutoka kwenye nyimbo zake za kuimba za zamani hadi kwenye ku-rap kwenye huu wimbo kuanzia dakika ya 3:06Nimeona kwenye comment kweli wengi wanasema kells alimuiga jamaa..
Ila still tukubali hata kama aliiga,kells is talented sana..kwenye kuimba,utunzi,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli Mkuu hata ngoma ya "Scent of Attraction" - Aaron Hall feat Patra usipokuwa makini unaweza kudhani ni R. Kelly mpaka video yakeHuyu alikuwa anaiga tu.
Kuna jembe alikuwa anaitwa Aaron Hall alikuwa tishio sana kwa RnB, R.Kelly alikuwa anamuiga jamaa style ya kuimba kuvaa, kunyoa na kuigiza kwenye video shooting za nyimbo zake.
Kelly kaja kubadilika baadae sana akaacha kuiga styles za jamaa.
Alipata shida ya afya akaondoka mapema kwenye game.
Imagine unamuimbia girlfriend wako huu wimbo na anakielewa kizungu ..
Ukitaka kujua R. Kelly talented sana msikilize alivyo badilika kutoka kwenye nyimbo zake za kuimba za zamani hadi kwenye ku-rap kwenye huu wimbo kuanzia dakika ya 3:06
Mkuu kwenye hilo halima ubishi ,huyu jamaa alianza kwenye kwaya ambapo alikuwa ni hatari kabisa.
Jamaa ni mult talented,anaweza kuimba aina tofauti za nyimbo,na kote anabamba vizuri sana.
Ila kwenye r n b ndo balaa kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
R KELLY IS A MUSICAL GENIOUS ILA ALIINVEST MUDA WAKE MWINGI KWA WANAWAKE SAIV ACCOUNT YAKE HATA LAKI HAINA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums