Ila kwa hili naweza kubali wanajf

Jakubumba

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
1,624
500
Katika Dunia ya warembo jina Mariam ni miongoni mwa majina yaliyobarikiwa sana kwa urembo,lakini kwa utafiti usio rasmi mariam(mary) hawajatulia kabisa wana mapepe(malaya).
Vilvile happiness huwa ni wazuri sana lakini pia hawajatulia
Pia Agness huwa ni wazuri na wapole sana

je wana jf ni kweli majina yanaendana na uzuri na tabia?
ongezea yako pia kama unajua
 
Binafsi hayo majina na wasifu wake umepatia mkuu. Nina experience nao hao jamaa.
 
yaah kuna ukweli,tena hapo kwenye happy ndo nomer,cjawah kukutana na happy ambaye n decent wote wanakuwa waluwalu...
 
Niliwah kumit na happy fb,nkampga sound akatiki thn after 3 days 2kamit,nkamgonga.
 
kwa mimi majina ya SUZY ni wajeuri na viburi alafu. IRENE ni wazuri ila wajinga sana na wepesi kudanganyika. JOYCE ni wajanja ila wanapenda sana starehe hata kama hawana pesa. LILIAN wapole ila wanapenda sana kujisikia ila ukimsifia umempata. ANET wavivu kufikiria maisha ya kesho wanapenda sana ila hawajui kama kunamatatzo
 
Alice-viburi,wanajickia na wakati hawana lolote,wanagawa vitumbua laana.
 
Viringe vayoyo viringe vayoo, amina kaa chini tuyaone maringo yako bingiribingiri baaa.
Rudia kiitikio; viringe......
 
Back
Top Bottom