Hiyo ndiyo principal yangu, huwa naprovide ili kuwa na uhalali wa kumtembelea muda wowote ninao hitaji.
Japo mabinti wa miaka hii wasivyo na adabu, hawachelewi kukuitia mwizi akiona amegonganisha Mabwana
Ndiyo maana kujihami natembea na manati ya Mzungu [emoji12]