Ila kuna wanawake wamekubuhu

Umesha sema una mgharamia, means wee n provider wake, una uhalali kufanya hivyo, vinginevyo ni kashesheee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo ndiyo principal yangu, huwa naprovide ili kuwa na uhalali wa kumtembelea muda wowote ninao hitaji.

Japo mabinti wa miaka hii wasivyo na adabu, hawachelewi kukuitia mwizi akiona amegonganisha Mabwana

Ndiyo maana kujihami natembea na manati ya Mzungu 😜
 
Asee wewe ulikuwa makini sn, kwa utaratibu huo kama angekuwa muoshaji rungu za wana lazima ungemkamata
 
Asee wewe ulikuwa makini sn, kwa utaratibu huo kama angekuwa muoshaji rungu za wana lazima ungemkamata
Hakika Mkuu, ukipata anayejielewa lazima ataamua kuheshimu hela unayowekeza kwake

Imagine una clear kuanzia Kodi,gesi hadi hela ya kula

Siku ukimdaka anakucheat hapo hapo unaachana naye

Huwezi kufuga kunguru badala ya Kuku
 
Umechana page, mbona ulipomla hujaweka mkuu 😹😹
Kiukweli kwa zile milio alikuwa ananinyoosha ila foleni ilokuwa inaingia mule hata angenipa kicha cha chini japo hakinaga akili ila naamini kisingesimama asee, ni kinyaa. Labda uwe hujui ila unashuhudia kabisa matukio naww ujichanganye kwenye kikao cha Wanaume ningepigwa faini kubwa sana
 
Hakika Mkuu, ukipata anayejielewa lazima ataamua kuheshimu hela unayowekeza kwake

Imagine una clear kuanzia Kodi,gesi hadi hela ya kula

Siku ukimdaka anakucheat hapo hapo unaachana naye

Huwezi kufuga kunguru badala ya Kuku
Nikweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…