Ila kuachwa

Hahahaha,wanasema kuachwa kunauma
 
Pole ndugu kila action ina malipo yake vumilia tuu. Lia, oga pendeza endelea na maisha mengine. Songa mbele kama ambulance vile maana ukisema ulazimishe penzi hapo utapigwa matukio hadi uombe poo.
 
Kumbe kosa ni lako ndo maana umeachwa mlongo, hapo pambana mwayaa.

Ingekua vinginevyo, ningekupasia mganga konkii, ex shem angekufata kukuomba msamaha huku akiwa anatambaa km mtoto wa miezi 9.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Namuomba huyo mganga konki maana shemeji yako anashindwa kutuliza Delibolo lake πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
 
Ukilalamika kuachwa ujue kuna kitu hujafanya vizuri.

Unatakiwa kulalamika kung'ang'aniwa mtu hataki umuache.
 
Ni bahati mbaya jamani,.
Nampenda ndio ( Umbali tatizo nikashindwa kukaza )
Sikuwaga na kazii Wala pesa kipindii ichoo..
Zile ngoja kesho baadae akachoka kuzi subiria..
Nilitamani nimuone siku zotee kwenye maisha yangu.
Bonge la nyau ft barnaba..VICE VERSA.
Akaenda kuolewa na mwenye pesa..simlaumu ila takribani miongo Sasa sijawai msamehe
Huyu alinishepu sana kua na moyo mgumu na kua heartless.

NB. Hapa Kuna demu mmoja anajua na mke..ila still ananitaka simu nyingi sana halafu hakati tamaa yaani sipokei simu zake hachokii sijui wanawake wa hivii Wana akili ganii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…