Ila kiukweli walimu mmetupiga bao

Ila kiukweli walimu mmetupiga bao

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,054
Reaction score
16,509
Hongereni sana wakuu kwa kuajiriwa,tulikua tunawacheka wkt tuko chuo ila nyie mmetangulia kula mema ya nchi.sisi wenzenu kozi tulizosoma ndo zile za kujazwa diamond jubilee kwenye usaili.
 
ipo siku utapata tena sekta nzuri mkuu, ucjal mungu atawasaidia ili sote tulitumikie taifa wacha sisi tukagombane na vumbi la chaki.
 
Haina noma wakuu,msisahau kuturushia hata Mpesa za kutuma application!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom