Ila hii issue ya uhaba na bei ya Sukari inawachora kweli kweli!

Lyambalyetu

JF-Expert Member
Apr 6, 2021
265
241
Sijui hawaoni - kila siku ninaulizia maduka niliyoyazoea ninaambiwa haijaja. Nikienda maduka ambayo sijayazoea bei bado ipo juu. Nimekuwa wa kununua nusu kilo au kilo moja kwa matumaini labda kesho itapatikana ya kutosha na bei itashuka lakini kesho inakuwa kesho na tena na tena.
 
Wauza sukari ndiyo wajumbe wa mkutano mkuu wa CCM taifa hakuna la maana litafanyika
 
Uhaba na kupanda kwa bei ya sukari kunasabbishwa na vita vya Israel na Palestine. Pia msisahau hata vita vya Russia na Ukraine haijaisha.
 
Kuanzia leo Sukari bei inaanza kushuka,kwa mujibu wa taarifa ya Waziri Bashe kwenye ukurasa wake wa X
 
Mkuu hadi supermarket kubwa hazina sukari, wanasema sukari sasa imekuwa kama biashara ya magendo...... hiki ni kituko cha karne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…