Ila Ford Ranger zimekaa kibabe

Gari hizi nzuri lakini bei yake hapana, 120M huko sio poa....ila Kenya kidogo bei zimepoa, kukuta mtu anauza ambayo imenyooka million 70 au 60 ya kitanzania kawaida...nitaendesha hii gari inshallah
Hata south bei zao si kali sana
 
Best option Toyota....huyo Ford atakutesa saana.
 
Reactions: Cyb
Mmarekani kwenye trucks yupo bomba sana kaka

Angalia ata hizi hilux ni kama copy za ford ranger
 
Pickups battle
• Fords Rangers, wildtrack
• Toyota Hilux
• Nissan Navara
• VW Amarok
• Isuzu D-Max
• Mitsubishi Triton
• GWM - China brand
Ipo naweza PATA kwa 60 million kuanzia mwaka 2021 to 2024 hadi registration
 
Hizi chuma zimeanza kujaa jaa mjini, hafu sio poa zinafaa kwa kila matumizi aisee.
View attachment 3332835
Muonekano wake umekaa vema. Sio nje sio ndani.View attachment 3332836
Ford Ranger, Ford Ranger Raptor, Ford Ranger Wildtrak ni dream truck.
Hii machine iko poa sana,kwa bahati mbaya naendesha ya ofisini ninakofanya kazi,sijaweza kuimiliki
lakini ni nzuri sana,pongezi kwao.
 
Vo
VW Amarok, dah inshaallah one day
Volkswagen Amarok kuanzia 2022-2025 zimekuja ni 10 speed transmissions automatic gearbox huku engine zake zikiwa na B-Turbo yaani turbocharged mbili kwenye engine moja ili kuipa nguvu ya haraka ili iweze kuchanganya mapema .

Hizo pick up zote zilizopo kwenye mada hii wanapiga salute Huko barabarani wakiiona hii Volkswagen, hapa hakuna cha V8 land cruiser wala LC300 inaweza kuifata hii mashine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…