lost files
JF-Expert Member
- Apr 17, 2025
- 1,144
- 3,415
Haha bahati mbaya sikuangalia mwaka ila nilikua nazungumzia ambayo ipo road kwa mtu kama huku number D ,nimeanza kuogopa..kwa bei kitonga inaweza patikana kiasi ganiDaah mkuu hakuna Ford ya kuanzia 2017 kuja mbele utaikuta Nairobi kwa bei hiyo na wao wana kodi kubwa kuliko Tanzania.
Ford zipo za SA,USA,Ulaya,Japan na Singapore ndio zimejaa huko East ukiangalia body zipo sawa ila ugumu wa machine zimetofautiana sana kutokana na matunzo ya nchi zinakotoka ndio maana unaona mwingine atasema inamsumbua hiki na mwingine hata asumbuliwi kabisa.Haha bahati mbaya sikuangalia mwaka ila nilikua nazungumzia ambayo ipo road kwa mtu kama huku number D ,nimeanza kuogopa..kwa bei kitonga inaweza patikana kiasi gani
Jozi sehemu Gani?Hata bei yake hapa Johannesburg zinakimbizana na Ford na Toyota muda mwingine yenyewe inakua juu.
Jozzi si sehemu nyingi tu wanauza magari...Jozi sehemu Gani?
Mkumbuke muonekano wa RAM na GMC pickups za kibabe Sana na bei imesimama kwelikweliDuh hapa ukimuweka Tundra uzi unafungwa.
Duh hapa ukimuweka Tundra uzi unafungwa.
Dogo mbona unasumbuliwa na mambo yasiyo kuhusu?Ulitaka nisiandike?Mwanaume anazawadiwa gari bila hata ukakasi unaandika hvo
Hongera sana mkuuNina 2.2, 4 cylinder diesel ya 2017 HR mafuta ni kama unatumia passo na ipo 3.2 wildtruck ya 2018 hii ni 5 cylinder diesel pia mafuta kawaida ila sio kama hiyo yenye engine ya Puma nawashukuru sana Ford ranger nawavutia pumzi nivute hiyo Everest ingawaje ina kodi kuanzia 43m Tsh ntalileta nalo Arusha yawe pamoja...
Ford nilikua siwajui kabisa nilinunua Bantam mwaka 2012 nikashangaa mbona ni Kigari kumbe hawa kaka zake watakua wana vitu zaidi sikukosea aisee..
Sio kweli, kenya kodi ni kubwa kwa matoleo ya zamani ila matoleo mapya ya magari kodi sio kubwa. Ndo mana kenya latest car zipo nyingi sana kuliko bongo. Kule hawatak uchafu huo wa matoleo ya zamani. Sio bongo mtu huna hela unaona uagize gari toleo la 2010, angalau upunguze gharama za kodi.Daah mkuu hakuna Ford ya kuanzia 2017 kuja mbele utaikuta Nairobi kwa bei hiyo na wao wana kodi kubwa kuliko Tanzania.
Revo Rocco za kuanzia 2020 nayo imetulia sanaHalafu kuna huu unyama pia REVO.
View attachment 3333412
Twambie basi sifa zake ni zipi!??, Tofauti na magari mengine
Mkuu kodi ni ndogo kwa gari mpya ila sio inayolipika kirahisi kodi ndogo ni Zambia na Malawi ila sio Kenya,sema wakenya wengi wana uchumi mkubwa ndio maana unaona pia wanaagiza gari za miaka ya karibuni na aina yeyote uliza Raptor ya 2022 kodi yake utaambiwa kiasi gani hapo..Sio kweli, kenya kodi ni kubwa kwa matoleo ya zamani ila matoleo mapya ya magari kodi sio kubwa. Ndo mana kenya latest car zipo nyingi sana kuliko bongo. Kule hawatak uchafu huo wa matoleo ya zamani. Sio bongo mtu huna hela unaona uagize gari toleo la 2010, angalau upunguze gharama za kodi.
Kwa mpya ni kuanzia Sh 147m mpaka 225m ikiwa njeLeo mkuu umesahau price na kodi mpaka ifike mujini.Do the needful
.
Mkuu Umenifanya Nicheke. Sifa zake Pesa Isiwe ya Mawazo Magari ya Wafogo haya Sio ya Makapuku. Full Service yake unanunua pikipiki 3 tena mpya sio za mkononiTwambie basi sifa zake ni zipi!??, Tofauti na magari mengine