Usisau kunitagNgoja twende TRA kucheki, nazielewa izi za kuanzia 2022 ndio unyama sana.
Isuzu j na vox ni hua amarok sio mchezo😀😀 kuna Isuzu Fulani hivi nazo kama ford ranger na pia kuna voxy wagen fulani nazo kama ford
hapo ipigwe uplifting ni balaa. Nadhan ndio truck pekee bora kwenye racingHizi chuma zimeanza kujaa jaa mjini, hafu sio poa zinafaa kwa kila matumizi aisee.
View attachment 3332835
Muonekano wake umekaa vema. Sio nje sio ndani.View attachment 3332836
Ford Ranger, Ford Ranger Raptor, Ford Ranger Wildtrak ni dream truck.