tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 142
- 591
Nchi ya Tanzania ina wakazi milioni 62+ kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya 2022
DSM pekee, ina wakazi milioni 8+
Ukiweza kubuni biashara ya kuweza kuwafikia wateja 200 pekee kwa siku, hukosi kulaza shilingi 100,000 iwapo utakuwa unazalisha faida ya shilingi 500 kwa siku
Karibu tena DSM
Anayepasifia Dar atakuwa Mwehu au atakuwa ametoka SITIMBI ndani ndani.Wakati nipo kijijini nilikuwa naambiwa Dar Es Salaam kuna maisha mazuri, fursa ziko nje nje.
Baada ya kumaliza Form 6 nilikuja kuishi huku ili niweze kujitafuta, kwa kweli nilikuta mambo tofauti na nilivyotegemea kwani hata kupata tu hizo fursa lazima uwe na ‘connection’
Kwanza siku nafika, nilipofika stendi, nilikuta watu wengi kiasi kwamba hata kupishana ni shida. Kutoka stendi hadi kwa mwenyeji wangu ilichukua saa tatu kutokana na foleni, huku tukiwa tumesimama kwenye Daladala.
Mji una kelele muda wote, na mitaani kila mtu anakuvuta kununua kitu au anajaribu kukutapeli. Baada ya miezi mitatu nilishindwa, nikarudi mkoani.
Umeshafika kibada?Nipo dar.ukweli pazuri ni masaki,salasal na mbweni tu.Sasa imagine mtu anaishi tandale,manzese,magomeni,kawe na mbulahati.
Kwa wanawake sasa ni wananuka midomo kwa kauli chafu na wanavitembeza kwa kugawa ngwengwe kama taasisi za misaada,na ndio maana watoto wengi wanaolelewa kwenye mji huu ni laana tu.
Ni vile haikaagi kwenye ubongo wangu.Nazani mipango mji wangeplan tangu mwanzo hata kinondoni,ilala na TMK zingekuwa kama kigamboni.Umeshafika kibada?
Mkuu uwe na pesa halafu uishk dar….are you fuckin seriously,labda kibada.Dar ukiwa na pesa pazuri aisee, ukiwa apechee utasaza nadhani hii ni kwa jiji lolote
Daaah🤣🤣🤣 muda wote unawaza kulombwa.Mtu yoyote timamu hawezi kuishi dar.
Muda wote mbunye inafuka joto huwezi kupata hata hamu ya kukalia muwa.
Sisi wenye ugwadu tunateseka sana. Mbunye zetu zinapata tabu.
Unaongelea hawa?Dar upumbavu ni mwingi sana, pale karume mpaka kwenye nguo za mtumba kuna madalali ..Wajinga ,ukipita pale wanakurushia nguo .
Umejibu swali?Ni vile haikaagi kwenye ubongo wangu.Nazani mipango mji wangeplan tangu mwanzo hata kinondoni,ilala na TMK zingekuwa kama kigamboni.