Ila dah

Huo uso kama anakunya
Hivi ndugu zangu Waislamu kwanini mnapenda kutukana hasa pale mnapomkuta mtu akiongea vibaya kuhusu Uislamu?,Kwani ndivyo mnavyoelekezwa?.Hivi ukimjibu tu kwa busara bila tusi huwezi kueleweka?.Mnatutia Mashaka sana na dini yenu,samahani km nitakuwa nimekukwaza.
 
Kutiana mashaka kupo pande zote mkuu, unazani muislam anaposkia padri shoga au kanisa linafungisha ndoa za jinsia moja hapati mashaka? Cha muhimu fuata maandiko na sio kufata mtu tena ambae si nabii
 
Dada unapenda mipasho kama hadija kopa.
 
Kutiana mashaka kupo pande zote mkuu, unazani muislam anaposkia padri shoga au kanisa linafungisha ndoa za jinsia moja hapati mashaka? Cha muhimu fuata maandiko na sio kufata mtu tena ambae si nabii
Naona unaendeleza matusi.
 
Naona unaendeleza matusi.
Mkuu unasoma kinyumenyume? Nimekueleza mazingira ili uache kufata watu na ufuate maandiko, inabidi tuuone ukristo au uislam haufai kwa maandiko na si matendo ya watu, kamaa hujanielewa na hapa basi, maana nashangaa kuonekana nautukana ukristo ila wanaofanya yasiofaa hawautukani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…