Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 37,527
- 62,961
Hongereni sanaHayo ni maisha ya siasa ni mwendo wa chuki tu
Hongereni sanaHayo ni maisha ya siasa ni mwendo wa chuki tu
Kuna mtoto wa Diwani mwanzoni nilidhani ni Mfuasi wa NRNE maana si kwa nondo zile dhidi ya chama na viongozi wake.Mnachukiwa kweli sio masihara
Duh kumbe tulimpa watu 9 tu 🤔Samahani nipo nje ya Mjadala, nautafuta Uzi ulikuwa unasema mama abaki au aachie madaraka?
Mara ya mwisho kuangalia Kura za abaki ziliiuwa 9 na Kura za kuachia madaraka zilikuwa 249.
Ule Uzi sijauona tena au umefutwa?
NB.Hii mada kwenye ule Uzi kuna majibu 100%
Samia anaamini katika machawaKadri siku zinavyoenda tunazidi kuchukiwa. Mmeona comments za watu kuhusu mwenzetu aliyefariki huko Dodoma. Ni hatari.
Yaani kila nikiongea na watu 10 nisiowajua kuhusu siasa, 7-8 kati yao wanatulalamikia CCM na waliobaki basi wanaisema vizuri kinafiki. Juzi nilikuwa na Mwenyekiti wa Wilaya wa CCM wilaya fulani hivi naye anailalamikia CCM yake hasa kwa kutokutenda haki. Siku ya kulipuka hili bomu la chuki dhidi yetu zimekaribia sana. Mwaka huu mpaka kufikia Oktoba mwishoni sijuiiiiii!
Unafikiri inaenda shimoni kama kijani yako?Ahahahahaha! Naona Lissu na Heche wanaipeleka Chadema peponi na No Reform, No Election Campaign! Ahahahahaha!!
wanapigana spana wenyewe kwa wenyeweKuna mtoto wa Diwani mwanzoni nilidhani ni Mfuasi wa NRNE maana si kwa nondo zile dhidi ya chama na viongozi wake.
We shangilia ili usitekweCcm imejenga wapi? viwanja vya michezo tu vimewashinda, ni hospital gani imejengwa na Ccm, Sgr tunadaiwa watanzania wote wewe unaongelea mambo ya CCM hizo trilioni mia na ushee ccm mtazilipa?
Kufa hakuna atakayebak wote watakufa tu hata hao watekajiWe shangilia ili usitekwe
Time always tells the truth.Unafikiri inaenda shimoni kama kijani yako?
Hakika!Time always tells the truth.
Tena wao wanakuja vibaya mnoOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOKufa hakuna atakayebak wote watakufa tu hata hao watekaji
Sasa hapo ndio tofauti ya watu wenye uzoefu na upngoz vs wale ambao hawana. Nina mashaka sana na washauri wake wanamlisha matango pori, na yeye haingii field kuupata ukweliTATIZO KUBWA mwenyekiti wetu Dkt Samia. Sijui kimempata kitu gani. Yaani amekuwa na maamuzi yasiyolets umoja. Unajua mfano kumkamata Lisu mtu ambaye hana ushawishi au kuzozana na Gwajiboy ambaye alipaswa ajibiwe na IGP tu itoshe. Yaani inasikitisha sana. Siuoni mwisho mwema wa Dkt Samia kabisa na hakika watanzania tunampenda ila anaonesha chuki kwa vitu vidogo ambavyo yeye kama rais hakupaswa hata kuviongelea.