Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,741
- 699,347
Jambazi anavamia nyumba ya tajiri anavua viatu nje aingie pekuSi afadhali scene hiyo, nilichoka nilipo ona jini limenyunda kwa mguu toka ubungo kwenda mwenge, lilipofika Kivulini likachoka likaamua liombe lifti kwenye bajaji
Sent using Jamii Forums mobile app