Ila Biashara ya uzalishaji (viwanda) ina baraka sana

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
1,093
Reaction score
1,502
Kwa Afrika ya sasa naona watu wanatamani sana viwanda yaani. kokote utakapoenda kwa nia ya kuanzisha kiwanda unaweza pata ushirikiano wa hali ya juu. Angalia huyu jamaa wakina mama wanavyo mpigia vigelegele yaani hata angekua samia hawezi furahiwa hivi.
Screenshot_20250326-181134.jpg
 
Vingi wanachechemea sana,nchi haijakaa kiviwanda sana hii ila ime-base kwenye importation zaid.
Ukuanzisha kiwanda tu hvyo vibali vyake utafika umechoka,hapo bado umeme WA cost kubwa na usumbue kisha uingize sokoni bidhaa ukutane na Bei ya Made in China kwa nusu bei unayo uza

Ni balaaa
 
Serikali ya CCM inapenda sana ulanguzi ndio maana haidhibiti bei za bidhaa za china
 
U nailed it, yani utazani vya kwetu sio bora

Back
Top Bottom