See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 630
- 1,820
Ni Masikitiko tu no moreUkaona Nini ulivyojiangalia 😂😂
Ni Masikitiko tu no moreUkaona Nini ulivyojiangalia 😂😂
Sio mwembamba sio mnene niko Saizi ya kati,. Mwezi March nlikua Nina 51kg saizi sijui nina ngapiWw ni mwembamba ama mnene ? Kg zako ni around ngapi ?
Mjamzito ??
Pole sana , unaishi mikoa ya baridi sio
55 now wewe ni mnene kama sio mrefu ila kama ni mrefu angalu wa kg 77cm wewe ni mwembambaSio mwembamba sio mnene niko Saizi ya kati,. Mwezi March nlikua Nina 51kg saizi sijui nina ngapi
Sio mjamzito
Yeah huku niliko saizi ni msimu wa baridi
Yeah ni nzuri sana , tena zaidi sijajua kwa wengine wanaona vipi lakini?Thank you 😊,.
Me najuaga mnapenda rangi za mtume kumbe Hadi nyeusi ni mzuri?,
Kama ni chapati ya makambako - Ulitisha mkuu.Chapati heavy hiyo ilikuwa 2014 Mji wa Makambako..Chakula nilikuwa nakula Sehemu mbili..Kuepusha Taharuki kwa Wauzaji
Sana mamaAfrikaMhm ila toto una rangi nzuri sana fo shua🤔
Kabisa mkuu wadada wa hivi mimi nawaelewa kinoumaSana mamaAfrika
Kuweka ndani dk 1 kuweka mimba dk0Kabisa mkuu wadada wa hivi mimi nawaelewa kinouma
Kg 55 si ndogo na inatakiwa uwe na 60 kwa umri wakoSio mwembamba sio mnene niko Saizi ya kati,. Mwezi March nlikua Nina 51kg saizi sijui nina ngapi
Sio mjamzito
Yeah huku niliko saizi ni msimu wa baridi
Jamaa unatiririka kama mgombea ubunge 😀Kabisa mkuu wadada wa hivi mimi nawaelewa kinouma
Hebu ngoja - Ukisimama na mtungi wa Gas unauacha au unakuacha?Ooh,.
Sijawahi kujipima kujua exactly Nina urefu gani lakini sio mfupi,. Saizi flani tu ya kati,. Ya kupewa shikamoo kabisa😜😜😂
Hizo cm nimechanganya hizi pombe looooh🤣🤣Ooh,.
Sijawahi kujipima kujua exactly Nina urefu gani lakini sio mfupi,. Saizi flani tu ya kati,. Ya kupewa shikamoo kabisa😜😜😂