Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kula😃😃....

Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kula😃😃....

Kama uko hapa Mjini Iringa nipange tuyajenge Mrembo
 
Kwa Elimu ya biology ya f6

Kwenye maeneo ya baridi mwili hufanya kazi mara mbili kwa wakati mmoja
=kujenga mwili na
=Kutengeneza joto la mwili

Kwaio sehemu za baridi lazima mtu anakula sanaa bcz chakula hutumika mara mbili kwa wakati mmoja kuliko yule anaeishi sehemu za joto kama dar yy hua joto lipo la kutosha sasa chakula hutumika kujenga mwili tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom