Ila baridi, nakula lakini nasikia njaa haraka baada ya kula😃😃....

Mkuu kwa hivyo vyakula? Ni halali kabisa.

Maandazi mawili 👀
Chipsi 👀
Yoghurt 👀
Parachichi 👀

Hivyo vyafaa kua vionjo, asubuhi piga Uji wa ulezi na Mkate wa ngano, Magimbi, Mang'amba au mihogo.

Mchana dona la nguvu au wali wa kutosha + mboga7 + matunda + maji.

Hivyo ulivyovitaja ni viburudisho vya kujazia jazia kama ukipenda.

Njaa utaisikia tu!!
 
Huenda kweli🤔🤔
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom