Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,084
- 1,499
Ila daah! Uhusiano wa china na Tanzania ni kama ukoloni tu.
Hivi fikiria kama nilifanya kazi ya ujenzi wa Mahakama ya mkoa(Njombe). Uliokuwa ukifanywa na kampuni ya (Shandong hi speed dejian). Siku moja bosi mkubwa wa kampuni alitembelea mradi na kuna ishu ndogo ilitokea. Nilishangaa mtu ananikuda na kunipeleka store. Huku akinishurutisha kusign makosa ambayo yalikuwa hayana mashiko na kunichukua picha, kuvua vifaa vya kazi na kuniacha pekupeku. Japo pesa alinilipa
Sasa najaribu kufikiri kama aliweza kuvunja sheria kwenye, eneo la ofisi za serikali ikiwemo mahakama ya wilaya. Je huko kwingine itakuwaje?
Pia kama wameweza sasa tukiwa na rasilimali. Je itakuwaje hapo baadae kwa vizazi vijavyo. Ikiwa kila rasilimali mnaampa mchina kwa bei ya kutupwa.