Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,230
We will miss you too mkuu... Maisha binafsi yana umuhimu kuyaweka sawa mkuu... NENDA Kajiweke sawa. Tunakuombea mafanikio
Poa mwana maandalizi mema, nina hakika wengi kama si wote hapa jamvini tunaelewa pepa linavyotukimbiza. Be good and do good!
Jamani nitakumiss..Nakutakia mitihani mema na ufanikiwe katika ndoto zako..
Heheeeeeeeeeeeeee..............mzima lakini GS???
Mi mzima Bala mbona umenikimbia kule...unajificha eee..
Sijakukimbia wala nini.....mtandao tu ndo wanizingua
Pamoja always mkuu....Kamastaz kangu kananitoa jasho
Pnegine unahitaji mapumziko kwa kuwa hapa baana, usipigane kwa kasi sana kihivyo bana unapopata wasaa badilisha mawazo bana (mwaga oil, weka mpya). Hata vitani mzee si unaona "viburudisho"...Wakuu,
Nachukua break kidogo kuchangia hapa.Mitihani yangu ya mwisho imenibana sana,Inanitoa Jasho.Nimejaribu kutenga muda kidogo wa kuchungulia humu ,Jukwaa la siasa,Uchumi,jukwaa la kimataifa nk. but naona shughuli inazidi kuwa nzito
Nikipata muda kama dakika 20 nitakua msomaji tu humu na kuchangia nitakapoweza.
Pamoja always!