Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,631
Ikumbukwe rais ana nafasi 10 za kuchagua wabunge anaowataka, msishangae Abduli akipewa ubunge baadaye uwaziri moja kwa moja.
Kweli umejikatia tamaa.Hata akimpa umakamu fresh tu
Hakuna namna maana mbuzi wa Bwana Heri shamba la Bwana HeriKweli umejikatia tamaa.
Kila kiongozi anayeingia madarakani anatengeneza njia ya kizazi chake nacho kiingie madarakani.Mawaziri wote wapo chini yake afu akubali kuwa waziri? Doesn't make no sense.
😂😂😂😂😂😂😂nchi la kiseng kila jambo lawezekana
Inaweza ikawa hivyo.Mimi naomba Abdully apewe uwaziri wa mambo ya ndani.
Hii itamsadia kua karibu na jamaa zake mapolisi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ikimpendeza ampe uraisi mwenza kabisa, sio hata makamo. Yani wote wawe na nguvu na mamlaka sawa.
Akiona inafaa Wanu awe makamo wake, Mchengerwa waziri mkuu, mtalaka wake Hafidh awe speaker wa bunge.
Kwa kifupi na nchi aibadilishe jina kabisa iwe Jamhuri ya Chura Kiziwi.
Cheo alichonacho ni kilubwa kuliko waziri,shemeji yake Mchegerwa atoshaMawaziri wote wapo chini yake afu akubali kuwa waziri? Doesn't make no sense.
Halafu Wanu awe waziri wa wamawake na watotoInaweza ikawa hivyo.