Ikulu yaacha kutumia YAHOO email, sasa wanatumia GMAIL

Ikulu yaacha kutumia YAHOO email, sasa wanatumia GMAIL

Yaani kuna watu bado hawana akili tu wanashindwa nini kutumia domain yao?
 
hii nchi basi tena..mi nshajikatia tamaa... hivi kweli ikulu imeshindwa kuwa na servers zake ika zi manage? waniite hata mimi basi ntawafanyia setup bureeeee...out if uzalendo
kwa wale wasiojua: kuna malalamiko kibao kuhusu gmail na kusoma /scan emails za watu..kumbe ikulu nayo inatumia gmail..
im very disappointed.
 
nimewatumia e-mail hawajanijibu

sasa sina hakika kama inafanya kazi au la
 
Mimi nimeshangaa sana, bado kuna maprofessor na ma-Dr hawawezi kutumia computer,sasa huko serikalini ndo wamejaa sana, ila simu za touch zimesaidia sana!
 
Nabado watatumia hadi hotmail! Shame on salvaaa
 
Halafu hawa vichwa maji kutw akucha kutuita DIASPORA security threat wakitupa URAIA wa nchi 2.
Who needs DIASPORA for infiltration when the same effing information is volunteered to them by the bozos in IKULU?
 
Mimi nimeshangaa sana, bado kuna maprofessor na ma-Dr hawawezi kutumia computer,sasa huko serikalini ndo wamejaa sana, ila simu za touch zimesaidia sana!
Wengi ni wachumia tumbo wasiopenda mabadiliko ama kwa uvivu tu wa kutokujifunza mambo mapya ama hawajaelimika kabisa.Kuna tovuti ya wananchi ilianzishwa kwa mbwembwe sana lakini hamna kitu, ukituma maoni au maswali ukifuatilia jibu ni moja tu miaka yote; "suala lako linashughurikiwa" .Aibu tupu!.
 
'kazi mnayo nyie wadanganyika
 
naendelea kupita tuu
 
Baada ya wana JF kuwasuta weee sasa wamebadili e-mail. sasa wanatumia GMAIL.

Si haba maana baada ya miaka 50 ya uhuru mwendo ndio huo na nina hakika mheshimiwa Rais anasoma hii maada na kuona jinsi gani watendaji wake walivyokuwa wanajua kutumia pesa.

Bajeti ya idara ya mawasiliano kwa mwaka ni dola milioni 10 lakini wameshindwa kuwa na e-mail zinazoeleweka

MUNGU IBARIKI TANGANYIKA ( Sijajua Ikulu zanzibar kama bado wanatumia NETSCAPE au HOTMAIL)

Tazama hapa:

MICHUZI BLOG: RAIS KIKWETE ZIARANI NCHINI MAREKANI
ni aibu
 
Back
Top Bottom