Ikulu: Wiki-leaks ni waongo...waongo...waongo!

Ikulu: Wiki-leaks ni waongo...waongo...waongo!

Anayewaona Wikileaks kuwa ni waongo haelewi lolote kuhusu mtandao huo. Kama kuna uwongo Katika taarifa zao wanaopaswa kuwa held responsible ni watumishi wa balozi za marekani ambao ndiyo sources za info hizo!
ndio, ni kweli kabisa. Wawafungulie kesi wikileaks waone watakachokipata.
 
Back
Top Bottom