FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Haaaa wapi umeambulia patupu vina nini watu ujumbe....kwenye hilo holaaaaaaaaaaa ....pakavu......chuchuchu konda kantukana na weee mtukane ..jikonda hilloooooo!!
Nna asili ya mashairi kama ulikuwa haujuwi.
Titi la mama litamu,hata likiwa la mbwa,
Kiswahili naazimu,sifayo iliyofumbwa,
Kwa wasiokufahamu,niimbe ilivyo kubwa,
Toka kama mlizamu, funika palipozibwa,
Titile mama litamu ,Jingine halishi hamu.
Lugha yangu ya utoto,hata sasa nimekua,
Tangu ulimi mzito,sasa kusema najua,
Ni sawa na manukato,moyoni mwangu na pua,
Pori bahari na mto,napita nikitumia,
Titile mama litamu,jingine halishi hamu.
By Shaban Rorbert from Jahadhmi's anthology of Swahili poetry
Huyo Jahadhmy unamjuwa ni nani? Ewe punguani?