FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,819
Kwa mfano nini maana ya vina katika bahari ya nudhumu?
Silabi za mwisho katika kila kipande.
Kwa mfano nini maana ya vina katika bahari ya nudhumu?
mwambie mwambie kibabu nyw€l£ nyeupe..kibabu mwizi..
KATIKA shairi hili, hilo limekosekana? weka beti japo moja iliyokosa vina.Silabi za mwisho katika kila kipande.
Kwa kweli Ikulu ni peponi hakutakiwi wanyama hawa
![]()
Inaonesha ni mchanga wa fani ya fasihi na ushairi kwa ujumla. Tumia kunga zaidi, shairi lako lipo wazi sana
ndo manake doto kulwaHao wanyama ndo chakula yko?