Ikulu leo jioni

picha zote kicheko kama siyo kicheko basi tabasamu,
JK ni photogenic!
 
"Ikulu ni mahali patakatifu" - Mwl Julius Nyerere
 
Huyu dogo anajitahidi sana na akiendelea na hizi juhudi zake atafika mbali sana. Ila anapaswa either kufundishwa mambo fulani fulani ya jinsi unapokuwa maarufu unapaswa kuongea na kubehave au kupata mshauri mzuri zaidi kwenye team ya wapambe wake atakayekuwa anamuandaa before interviews. Mfano nilibahatika kuangalia moja ya clips za interview yake ya few days ago but kuna vitu viwili havikukaa vizuri na ni vema wapambe wake humu ndani wamshauri:

1. Kuweka mguu juu ya meza ya watu ya kioo (coffee table) wakati anakuwa interviewed; it was bad even though atazuga kuwa alikuwa free..

2. Kutangaza kuwa demu wake alitoa mimba mbili. Huu ni ujinga, huwezi kwenda kuongea mambo yenu ya ndani kwenye public tena kama msanii.. Si-support abortion but mtu anapaswa kufundishwa cha kuongea na kisicho cha kuongea kwenye public hasa unapokuwa una umaarufu fulani.. Yule binti ana wazazi, ndugu, na si ajabu sasa hivi mume au mchumba.. Kwa nchi za wenzetu ingekuwa jambo la kawaida, ila kwa tamaduni zetu sidhani kama sahihi hata kidogo...

Ni mtazamo tu...
 
Ikiwa OBAMA mwenyewe Rais wa Taifa kubwa anatembelewa na Wasanii na hadi kumkumbatia Beyonce...SEMBUSE Rais wa Taifa dogo kama tanzania. !!! WaTZ tumezoea kuongea hata mengine yasiyokuwa ya maana......Ongeeni mengine si hili..huyo ni nyota wa mziki wa TZ akimtembelea Rais na kuonesha alicholeta Tanzania katika kuwakilisha Nchi yetu kisanii si mbaya...Usanii wa Diamond na alichofanya pia ni moja ya kuitangaza nchi ya Tanzania kimataifa....

Wamependeza wenyewee!! Diamond Big up...Hongera kwa kazi nzuri...Mungu akuongoze katika kazi zako. Ila Uendelee kuuthamini Utanzania wako na Watanzania hivyo hivyo..




 
Safi sana diamond endelea kuitangaza Tz kisanii, kudos kwa mzee wa kaya kulitambua hilo.
 
Illuh umeongea vyema....kuanzia leo naingia namashaka na jf kama kweli ni home of great thinkers!!!hata hili nalo linahitaj elimu kujua nin diamond anafanya kwa taifa la tz??hatakuingia ikulu nalo linahitaj elim nalo???jaman tubadilike heeeees
 
Hii ni mbinu inayotumika na IKULU ili Watanzania msahau ishu za ESCROW, stukeni
 
Illuh umeongea vyema....kuanzia leo naingia namashaka na jf kama kweli ni home of great thinkers!!!hata hili nalo linahitaj elimu kujua nin diamond anafanya kwa taifa la tz??hatakuingia ikulu nalo linahitaj elim nalo???jaman tubadilike heeeees

Mkuu nafikiri wewe ndio ujifanyie tathimini kama ni kweli ni great thinker.

Hakuna anayepinga kazi anayo fanya Dimond,Ishu Hapa ni vipaumbele vya raisi wetu. Vitu vya msingi havipi attention kwa wakati. Embu soma huyu mdau Hapo chini kwenye picha ndio utaelewa

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…