Ikulu kwa rais

Ikulu kwa rais

zukuboy

Member
Joined
Aug 26, 2009
Posts
25
Reaction score
4
hivi inakuwaje siku umelala nyumbani kwako alafu asubuhi unaamka unajikuta upo kitandani kwa mhe.Rais alafu yeye anaoga bafuni wakati huo first lady bado hajaamka anamalizia usingizi pembeni yako..je utafanyaje wananchi wakuelewe?
 
Mh......mkuu looh;umewaza nini?
Nitaomba sana Mungu iwe ndoto;maana kama ni kweli lazima usafirishwe bure hadi kwa mungu!!!
 
ww unamzia salma au mumewe?
Alafu inaonekana bado hujamalizia usingizi wako.
 
Natamani niwe mchawi. Afu nimbebe MS nikamlaze kitandani kwa Mkwele hiyo morning. Mwenyewe akiwa bafuni anaoga akichekacheka na kuwaza mgomo wa madaktari.
 
We acha masihara na roho za watu ukiota hiyo ndoto mtafute mchungaji akuombee yasikukute
 
Hv ndo topic gani. Hata kichekesho hakiji. We mzi"zi
 
Inabidi aniachie mimi Urais kama nimepita na kuingia hadi chumbani kwake bila walinzi kuniona.
 
unavuta shuka,unachapa usingizi.....yani inabidi ujitoe ufahamu...
 
Navuta shuka halafu naendeleza kuchapa usingizi mpaka waniamshe, halafu yatakayoendelea baada ya hapo watajua wao
 
hivi inakuwaje siku umelala nyumbani kwako alafu asubuhi unaamka unajikuta upo kitandani kwa mhe.Rais alafu yeye anaoga bafuni wakati huo first lady bado hajaamka anamalizia usingizi pembeni yako..je utafanyaje wananchi wakuelewe?
...ukiwa mwanaume au mwanamke????
 
Back
Top Bottom