sasa kujishebedua kutamsaidia nani?
jiwe kunasa btn brake disc na pads sijasema,narudia nilichosema it is possible jiwe kunasa kwa single wheeled car.hio inatokea btn brake disc na metal cover(kaangalie gari yako kama ina disc brakes).hio forum uliyoangalia ni ya madereva kama mwingine yeyote sio wataalamu hivyo hamna jipya hapo.na jiwe kunasa kwenye rim siwezi kukanusha au kukubali mpaka nijue ni gari gani,ina rims inch ngapi,tairi yake ni 250-60-zr20 or what,ni original rims or pimped.so msijjaji kwa experience za magari yenu au kwasababu hamjasikia au haijawatokea.
mbebabox said:wandugu,JIWE LINAWEZA KUNASA KWENYE GARI YA SINGLE TYRE.ishawahi kunitokea na ilibidi niende kwa fundi ndio nikajua ni jiwe.lilikuwa linasababisha very deafening screaching noise.
Halafu likasababisha noises?hata SINGLE TYRE jiwe linaweza kunasa kwenye RIM.........
halafu likasababisha noises?
Tueleze basi wewe mtaalam,maana umeanza so humbly na kudai kuwa ulienda kwa fundi hadi kujifanya mtaalam,haya tueleze....
halafu likasababisha noises?
Tueleze basi wewe mtaalam,maana umeanza so humbly na kudai kuwa ulienda kwa fundi hadi kujifanya mtaalam,haya tueleze....
punguza jazba basi.......kupata tatizo mara nyingi kunakufundisha next time ufanye nini.......
Unajibu vitu vya tofauti....Si ulisema huna comment hapo mwanzoni kuhusiana na statement ya ikulu inayodai kunasa kwenye rim?Ndio maana nikakuuliza ni kivipi itamake noises?Na kama umeshageuka kuwa mtaalam,ni budi ujibu kiutaalam na usiniambie eti nenda kaangalie.nenda kaangalie gap btn brake disc na wheel then utaona uwezekano wa jiwe kunasa.................
unajibu vitu vya tofauti....si ulisema huna comment hapo mwanzoni kuhusiana na statement ya ikulu inayodai kunasa kwenye rim?ndio maana nikakuuliza ni kivipi itamake noises?na kama umeshageuka kuwa mtaalam,ni budi ujibu kiutaalam na usiniambie eti nenda kaangalie.
Uko right on one side of it na si all the way mkuu unless utuwekee data za kitaalam kama unavyojigamba kuwa wengine ni madereva tu.
Nuttin personal mkuu,ukitaka tu rely on your testimony based on what happen to those folks sioni tofauti kati yao na wewe,na ndio maana nikashwangazwa na statement yako kwamba hakuna jipya hapo na wakati huo huo ukidai kuwa huwezi kukanusha ama kukubali,pia ulisema kuwa argument yako imebase on single tire vs one,nikaweka link ukasema si reliable kwasababu hao ni "Madereva tu"kama hujaona gap btn wheel/rim na brake disc hata nikielezea hutaelewa,haihitaji utaalam wowote kuona hio possibility ndio maana nikakwambia hao watu kwenye hio forum sio wataalam ni kama mimi na wewe tu.....dont take it personal mkuu....
Na ndio maana nikasema more info inahitajika kuonyesha ni tairi za aina gani kwenye gari hilo la mh Rais....mbebabox said:jiwe kunasa btn brake disc na pads sijasema,narudia nilichosema it is possible jiwe kunasa kwa single wheeled car.hio inatokea btn brake disc na metal cover(kaangalie gari yako kama ina disc brakes).hio forum uliyoangalia ni ya madereva kama mwingine yeyote sio wataalamu hivyo hamna jipya hapo.na jiwe kunasa kwenye rim siwezi kukanusha au kukubali mpaka nijue ni gari gani,ina rims inch ngapi,tairi yake ni 250-60-zr20 or what,ni original rims or pimped.so msijjaji kwa experience za magari yenu au kwasababu hamjasikia au haijawatokea
nuttin personal mkuu,ulisema kuwa argument yako imebase on single tire vs one,nikaweka link ukasema si reliable kwasababu hao ni "madereva tu"
na ndio maana nikasema more info inahitajika kuonyesha ni tairi za aina gani kwenye gari hilo la mh rais....
Nimekupata,tusubiri maelezo ya ikulu kama yapo ya ziada ama mwenye more info kuhusiana na matairi ya gari hilo...Tatizo bado ni maamuzi ya viongozi wetu na wasaidizi wao,kufanya mambo kwa kujuana tu bila kuhakikisha kuna utaalam kwa maslahi ya Taifa,urais unafanywa kama ni wa kifamilia ama genge na wakati ni taasisi yenye umuhimu sana kwa wananchi na Taifa kwa ujumla.....Something bad happens to the president God forbid;gharama za uchaguzi na kila kitu zitakuwa unpredecented....ok.sijui gari la rais.naongelea ninalotumia mimi.gari hili lina std 16'' rims lakini linaweza kuwekwa up to 21'' rims.
Sasa basi hii std 16''rim inaacha gap ya abt 2cm btn base ya rim na brake disc hivyo kufanya mawe yatakayopita kwa ni madogo sana ambayo hayawezi kunasa btn break disc na rim.
Sasa iwapo nitaweka 20'' rims ambazo ni option kwenye hii hii gari gap btn base of the rim na brake disc itakuwa kubwa sana hivyo inaweza kuruhusu mawe makubwa kupita na yakaweza kunasa wakati tairi linazunguka kama ujuavyo mawe yana awkward shape,na likinasa pale hio kelele yake nadhani unaijua.
Nafikiri umenielewa.
Aanze kutembea kwa miguu tu... miye nimesema siku moja watapanda ndege angani na Rais halafu watakuta rubani hayupo na msemaji wa Rais atatafuta maelezo ya kwanini walimhamisha Rais kwenye helikopta hewani! - alikuwa anajaribu kuangalia taifa toka anga za mbali ili kujua matatizo ya wananchi.
mmbebabox,
mkuu swala hapa lipo wazi kabisa, madai ya msemaji wa rais kasema kwamba jiwe lilinasa kwenye rim ambayo kwa maelezo yako mwenyewe ni sawa na kusema jiwe lilinasa upande wa tairi la nje kwenye rim, maana tairi lipo pamoja na rim yake.
Alichoandika huyo jamaa ambaye jmushi1 kam - quote kasema, jiwe lilinasa kwenye wheel drum ambayo pengine naye kakosema kwani tacoma trucks zinatumia disc brakes (sii drum brakes) labda hilo gari lake ni la miaka ya 80s au mwanzo 90s..
Kwa hiyo upo uwezekano wa jiwe kunasa kwenye drum brakes ndani ya tairi lakini sio ktk rims na kusababisha sauti anazodai..kisha kama rais alikuwa akitumia zile bmw za ikulu, rims zake hazina upenyo wa kupita kokoto kuingia ndani ya rim acha mbali uwezekano wa kutokea kitu hicho.
Kifupi hata mwandishi wa rais kadanganya na sielewi alichoomba waandishi waulize kwanza hali yeye mwenyewe anaongopa hata baada ya kupewa nafasi ya kufafanua ukweli ni upi. Kisha kulingana na protocal huyu msemaji alitakiwa yeye kuelezea tukio hilo kabla ya waandishi kuandika chochote. Kila tukio ktk msafara wa rais ni lazima liwe na ufafanuzi wa kisayansi na muhimu umma ujulishwe mapema kabla ya vyombo vya habari havija chukua jukumu hilo..
Yeye ndiye mwenye makosa na sio vyombo vya habari na anapojaribu ku cover up ndipo hoja na mashaka yanavyozidi kulizunguka tukio zima. Hawa woote ni concerned citizen wana kila haki ya kutaka kufahamishwa ukweli!
asante kwa maelezo yako,nimekuelewa,kama nilivyosema sijui gari la rais,ila nimejaribu kuonyesha possibility ya jiwe kunasa kwenye rims.
Kwenye rims na hizo kelele zilizotolewa maelezo ni vitu tofauti mkuu....Jiwe likinasa btn brake pad and disc ndiyo kelele za namna hiyo hutokea,sidhani kama ni similar na what you're trying to claim,hata ushahidi uliotuwekea hapa ni kuhusiana na brake pads na disc na si mambo ya rims acha twisting.
Mkandara jamaa atakuwa kakosea tu maandishi wakati wa kujieleza,wenzetu nao huwa wanakosea kwasababu maelezo yake yanaendana na dsic brakes na si drum brakes kama ukimsoma kwa makini....Nadhani alimaanisha btn the pad and the disc.
mkuu,naona unapenda ligi,hamna hata sehemu moja nimesema kuhusu jiwe kunasa btn brake disc na brake pads,naomba uelewe unavyoelewa na mimi nielewe ninavyoelewa.IM OUT.
ok.sijui gari la rais.naongelea ninalotumia mimi.gari hili lina std 16'' rims lakini linaweza kuwekwa up to 21'' rims. Sasa basi hii std 16''rim inaacha gap ya abt 2cm btn base ya rim na brake disc hivyo kufanya mawe yatakayopita kwa ni madogo sana ambayo hayawezi kunasa btn break disc na rim. Sasa iwapo nitaweka 20'' rims ambazo ni option kwenye hii hii gari gap btn base of the rim na brake disc itakuwa kubwa sana hivyo inaweza kuruhusu mawe makubwa kupita na yakaweza kunasa wakati tairi linazunguka kama ujuavyo mawe yana awkward shape,na likinasa pale hio kelele yake nadhani unaijua. Nafikiri umenielewa.