Ikulu kumi nzuri za Afrika

Ikulu kumi nzuri za Afrika

sijaona mada za Mr. Kidevu (chin) toka nov. 2015. hii id ilitesa sana karibu majukwaa yote. kuna watu wanajitahidi kwenye nyanja za IT! Mr Chin tuletee mrejesho wa kazi yako. hakika jf wengi bado mnamkumbuka huyu member.
 
Tusubiri ikulu mpya ya Dodoma pengine itafunika.....
Ya Uganda nzuri aisee nliwai kupita hapo nje ni balaa!
 
Ikulu ya Tanzania inazifunika zingine kwenye hiyo top 10
 
Tusubiri ikulu mpya ya Dodoma pengine itafunika.....
Ya Uganda nzuri aisee nliwai kupita hapo nje ni balaa!
Ikulu za Magogoni na Chamwino zinazifunika kibao hapo kwenye top 10
 
Ikulu ya cameroon sio tu ni ya kwanza afrika, bali ipo pia mpaka top 10 ya ikulu nzuri kidunia ikizipita ikulu za nchi kubwa tu duniani
 
Southafrica.
Senegal
Sudan.

Mie nimependezwa na ikulu hizo.
 
Back
Top Bottom